Aina ipi ya mtu huwezi kuwa naye kwenye mahusiano ya kudumu ( Serious relationship)?

😂😂😂😂😂Umenikumbusha movie moja nilienda miaka minne au mitano iliyopita. Inatisha ile mbaya nawaambia officemates tuondoke wameng’ang’ana tu nadhani nilifumba macho 70% au 80% ya movie. Siikumbuki jina ila Bruce Willis ndiye alikuwa sterling.

Anaeangalia horror movies bila kuskip sehem za kutisha siwezi kuoa
 
Umemmaliza
 
Naconnect dots

1.Mnyaki..means ni black mamba
2.mnene means anakijasho cha hatar
 
mi mwanamke anaeniganda na simu kila saa sipendi.ukitaka nikuache saa hiyo we endelea kuuliza hili swali kila siku"BABY UNANIPENDA KWELI".kuna wanawake wanaganda kila saa anataka ajue upo wap unafanya nn kila mda simu.inaboa sana
Huyo anakupanga tuu..au anakutime ili afanye yake usimshike
 
Ukipenda kupokea upende na kutoa hiyo ndiyo kanuni..
Kuna lingine.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…