Hahahaha, ndio tulia dili ikitiki utainjoy mama. Au unataka nikaibe nifungwe
ahadi za hivi huwa hazitimiagi tatizo
Kwan ukiachia tigo unapungukiwa nin..?Mwanaume mtolea udenda tigo yangu,, kiukweli graph ya mahaba hushuka kwa speed ya 4g
Natafuta zangu na bado nahudumiwa, wanaume mmeumbwa kuwa providers msitumie nguvu kubwa kubadili hilo kamwe halitobadilika..!
Hebu tafuta pesa za kutosha uhudumie mke na familia yako, Acha uzembe na vijisababu.!!
Tombeni mbele nyuma si pa kazi hiyoKwan ukiachia tigo unapungukiwa nin..?
Pamela jina au umemaanisha mdada mwenye kipini puani.Siwezi kuwa na mahusiano na Pamela
Ulipendeza sana, natamani ningekuona,Nikijiangalia hapa nimenyoa kiduku, nina bonge la bleach mbaya zaidi nimezivurugaaaaa.
Mchana nilivaa jeans ya kuchanikachanika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na miwani hivi ya jua haloo ningekuwa babe wa mleta mada talaka ningepewa leo.
Nimecheka sana hivyo vigezo vyako.
Hiyo ya kutafuna bila kufunga kinywa inachefuaa, mara ya kwanza namuona mtu wa hivyo nilishindwa kula mbaya zaidi alikua boss wangu, kumwambia nilishindwa nikaacha tu kula.Unatafuna ufungi kinywa yaani kama mnyama,
Unapiga chafya ama kukohoa unaachia mdomo wazi,
Unakula huku unaongea unyamazi,pumbafuu.
Sipendi.
Watu wa vigezo vya mtoa mada wengi wanakuwa na tabia zisizofaa, hata Mimi nawachezea tu ila sio watu wa kuoa.Ulipendeza sana, natamani ningekuona,
Achana na vigezo vya mtoa mada, hajui kwenda na fashoooni, akaoe village girl hukoooo, mjini hapawezi.
Bro, mtu kwenda na fashion haihusiani na tabia, kuvaa wigi, kubandika kope/kucha, kubleach nywele, kuvaa jeans ya kuchanika, lol huo ni ujana tu wakishaingia kwenye majukumu wanaacha,Watu wa vigezo vya mtoa mada wengi wanakuwa na tabia zisizofaa, hata Mimi nawachezea tu ila sio watu wa kuoa.
Unamjua Nancy Sumary? Hebu muangalie yule dada halafu nambie ni village girl
Taka usitake..wanawake wengi wenye sifa alizotoa mleta mada Wana tabia zisizofaaBro, mtu kwenda na fashion haihusiani na tabia, kuvaa wigi, kubandika kope/kucha, kubleach nywele, kuvaa jeans ya kuchanika, lol huo ni ujana tu wakishaingia kwenye majukumu wanaacha,
Me nanyoa kiduku na pia na dye nywele zangu wakati mwingine na still nina familia inanitegemea na wanapata mahitaji yote sahihi, babymama anabandika kope na kucha, anavaa wigi na weaving na bado ni best mama and best partner in the world,
Nancy Sumari huyu wa sasa, unamjua Nancy wa miaka hiyoooo? Tusianze kufukua makaburi ila usihukumu kitabu kwa kava lake la nje.
Pale unapokosa hoja,Taka usitake..wanawake wengi wenye sifa alizotoa mleta mada Wana tabia zisizofaa
Ambae hana chura!
Sisi ndio tunaowachakata ...tunajua sample zenu vizuri na huu ndio ukweli usitafute namna ya kujitetea.Pale unapokosa hoja,
Lol.
Ndege wafananao huruka pamoja,Sisi ndio tunaowachakata ...tunajua sample zenu vizuri na huu ndio ukweli usitafute namna ya kujitetea.
Watu wa hiyo sample yenu huwa tunahit and run...hatuweki makazi.Ndege wafananao huruka pamoja,
Mtu wa hovyo atatoka na wa hovyo mwenzie,
Pole.
We ni dansa mkuu? Maana hayo uloandika yana wajihi wa kidansa kabisa.Bro, mtu kwenda na fashion haihusiani na tabia, kuvaa wigi, kubandika kope/kucha, kubleach nywele, kuvaa jeans ya kuchanika, lol huo ni ujana tu wakishaingia kwenye majukumu wanaacha,
Me nanyoa kiduku na pia na dye nywele zangu wakati mwingine na still nina familia inanitegemea na wanapata mahitaji yote sahihi, babymama anabandika kope na kucha, anavaa wigi na weaving na bado ni best mama and best partner in the world,
Nancy Sumari huyu wa sasa, unamjua Nancy wa miaka hiyoooo? Tusianze kufukua makaburi ila usihukumu kitabu kwa kava lake la nje.