I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
- Thread starter
-
- #21
Itakuwa pitbulls hao. Huwa hawajielewi muda mwingine.Tangu nione mbwa fulani wameua familia nzima, aisee hawa viumbe sina hamu nao hasa hao wa kizungu
Wanasema kwani?Kama haiwasumbui haina haja kuitoa
Hiki kina shida gani kwani mkuu?