Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Hv hawa unawezaje kumjua kuwa ni feki au ogHapa unyama mwingi shepherd mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv hawa unawezaje kumjua kuwa ni feki au ogHapa unyama mwingi shepherd mwenyewe
I love my dog
View attachment 2932694
Mbwa wepesi sana hawa halafu wana kasi, Navy Seal wanawatumia sana ni wazuri kwenye ulinzi.View attachment 2931982
Mbwa bora sana kwenye jeshi.
Nawapenda sana. Wanaakili na kujiongeza.Mbwa wepesi sana hawa halafu wana kasi, Navy Seal wanawatumia sana ni wazuri kwenye ulinzi.
Sahihi mkuu.Nawapenda sana. Wanaakili na kujiongeza.
Huyu ni mchanganyiko na duma nini
Labda uwe mzoefu sana nao, ila kujuwa kama ni chotara labda iwe dhairi kwenye muonekano wake.Hv hawa unawezaje kumjua kuwa ni feki au og
Huyu nampata wapi..mpiga mikwara
Hii inaonekana watu wengi wanamiliki chotara sio pure breedLabda uwe mzoefu sana nao, ila kujuwa kama ni chotara labda iwe dhairi kwenye muonekano wake.
Ni kweli sababu ya utandawazi wengi hupendelea kufanya cross breeding kati ya jamii tafauti za mbwa.Hii
Hii inaonekana watu wengi wanamiliki chotara sio pure breed
Huyu ni konyo kwa kuruka.anaweza ruka hata fensi akatua njeView attachment 2931982
Mbwa bora sana kwenye jeshi.
Hivi ni vipole na vicheshi sana.vinapenda kupeti petiwaView attachment 2931996
Vinaonaga life ni simple sana😁. Havijui tu
Hawa koko nilicheka niliposikia ukiwapa mafunzo baada ya miezi mitatu wanasahau inabidi uwarudishe tena mafunzoniAu umelikumbuka lile jibwa koko la mtaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu si Manunu wa Wema?
SITA SAHAU SIKU NILIYOSHUHUDIA MBWA WANGU ANAGONGWA NA GARI (AMBULANCE) AKAVUNJIKA MGUU NA AKAWA KILEMA MPKA KUFA KWAKE.
NILIUMIA SANA SANA SANA SANA.