Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

ni bahati nzuri tu hii nchi serikali ya ccm wanaidhibiti kikamilifu kiusalama la sivyo tungekuwa na serikali legelege kwenye usalama huu mkoa unaweza kutoa hata kikundi cha uasi kwa aina ya vijana waliopo ni vijana wa hovyo kuliko maelezo vijana wasiojijali kwao maisha hayana thamani sababu bange na visungura ndio kila kitu kwao na maisha ya kuigaiga upumbavu.
Hao machalii wala hawana habari na uasi, wao ni bangi tu, wangeamua wangeshaasi.

Hiyo serikali ya ccm imeshindwa kudhibiti panya road hapo daslama. Jiji likiwa na headquarters za taasisi nyeti na za kiusalama za nchi karibu zote bado kuna vivulana vinafunga mitaa na kulaza watu saa12 jioni!
 
Hao jamaa wanaishi maisha ya miaka 80's mji mzuri ila bado pale town unakuta mtu kavaa makata mbuga ya kuchungia ng'ombe ....Ukija kuvaa zero matambaa ya mitumba mwanzo mwisho mtu anavaa nguo ishatumika eti Quality.
 
Wakati natazama hiyo clip nikakumbuka movie ya Johny the Mad dog. Kina Johny Mad Dog walikuwa wana style kama za hao machalii wa R. Huu upuuzi wa hawa vijana ulikuwepo muda mrefu ila kwa sasa hivi umepata nguvu zaidi kwa kupata promotion ya media. Nakumbuka mwanangu mmoja ambaye alikuwa na akili nyingi sana darasani kiasi kwamba tukienda tuition pale Arusha Sport Club yeye alikuwa superstar. Bahati mbaya akajiingiza kwenye mkumbo wa huo usela mavi akawa anashinda Sheikh Amri Abeid kula bangi na wahuni. Yule kijana hakumaliza UDSM. Hao machalii wa R wengi wao wanaishia kuwa walevi wa pombe za kienyeji na bangi.
 
si bora hivyo kuliko vijana wa dar wanaokulana wao kwa wao.....

najua nimeandika ujinga hapo ila dhumuni langu ni kuonesha ubaya kwa kujumuisha mambo.... sio wote wako hivyo, ingekua wote wako hivyo basi arusha isingekua jiji
Unaona sasa akili zao..kwa hiyo Arusha kuwa Jiji na ubwege wao vinahusiana nini....
 
ukiwapekua hapo kila mmoja ana disibisi na kiwembe mfukoni. bange mbaya sana na kwa arusha sio wanaume tu hadi wanawake wanavuta bange na kula mirungi.
Hata wanawake wa huko ni majanga matupu...yaani mabangi tu...wanaboa sana...hata wazazi wao hawafurahii kuwaona hivyo.. basi tu hawana namna...taifa kweli litajengwa na VIJANA wa hovyo wa namna hiyo...?
 
Ujaomba mjadala wa kitaifa kwa Bandari yetu. Unataka maisha binafsi
 
Na hapo Arusha ni ya pili au tatu kwa maendeleo nchini bado unahisi unahitaji mjadala kuhusu lifestyle yetu. Ingekuwa ni ya mwisho kama Lindi sindio ungetaka tuuwawe kabisa.
 
Ukipanda hice kila mtu na time yake hakunaga story wala nn,
Napenda sana ile style,
Baadhi ya mikoa ktk hice watu wanaweza piga utadhan wanajuana.
 
Back
Top Bottom