Aina ya maisha kwa vijana wa Arusha tunahitaji mjadala wa kitaifa

Hayo ni maisha yao, we shughulika na yako
Hawajaja kukuomba ugali
 
Mmoj juzi anasema yeye alishakufaa siku nyingiii ule ni mwilii tuu so haogopi kifo wala kitu yoyotee yanii....nadhani kama huyo hapoo sijui kama yupo hai kifikra wala mawazooo...bhangiiiii kunakuchaa mpaka usiku.
Dereva wa bajaji alikua anahojiwa juzi anasema eti wananjaa Kali mpaka zinapiga alamu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kukuta wazazi wa hao vijana au walezi wa hao vijana,nao wapo kwenye huu uzi wanachangia kuwasema hao vijana wa AR,

Wamesahau kabisa kua hayo ni matokeo ya malezi yao.
acha ujinga ndugu, hivi kweli mwizi wa aina hiyo atakuwa hata anaingia kwenye computer, yeye au wazazi wake? mbona akili zenu fupi sana aisee?
 
Mbona mmezidi kutusimanga sana huku JF ase hapo chuga sisi tupo na life yetu alafu hatujawai fanyia mtu fujo Kama ajazingua ila nawakumbusha tare 15/10/2023 tuna rally mje mshuhudie ile love tupo nayo watu wa kaskanzini View attachment 2708762
 
acha upumbavu we ccm inaingiaje hapo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…