Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Hapana..waachwe na biznes zao.Kwaiyo mkuu unashauri single mother waanze kuuliwa Ili tuanze upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana..waachwe na biznes zao.Kwaiyo mkuu unashauri single mother waanze kuuliwa Ili tuanze upya
Hii ni nzuri sana lakini ukiambia vijana ndiyo hawakuelewi.Nafikiri kwa vijana ambao hawajaoa au kuolewa waanzishe huu utaratibu.
Hakuna kuoa mwanamke mwenye mtoto na hakuna kukubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto. Kila mtu arudi kwa yule mtu aliyezaa nae wakaanze maisha.
Hii ni nzuri sana lakini ukiambia vijana ndiyo hawakuelewi.
1.Je, Kwa nini uoe single mother hasa ambaye mzazi mwenzie hajakufwa je?Habarini na poleni na majukumu
Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers
Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za kwanini mwanamke anakuwa single mother.
1. Baba mtoto kukataa mimba au mtoto. Kiukweli hakuna jambo ambalo mwanaume huwa analichukia na kulikwepa Kwa gharama yoyote ile kama kulea mtoto asiye wake ama kusingiziwa mtoto. Mwanaume hakatai mtoto bila sababu mara nyingi inatokana na mwanaume kuona mienendo isiyo mizuri au matukio Fulani kutoka Kwa mwenza wake.. mwanaume akishaona 50/50 za mtoto huwa ni ngumu sana kumkubali mtoto na wengi huwa wanasubiria mpaka pale mtoto atakapokuwa na umri flani Ili waweze kuangalia kama wanafanana nao ndo waweze kutoa maamuzi rasmi.
2. Kipato kutokidhi mahitaji ya mwanamke pamoja na mtoto wake. Mwanaume kama hawezi kutoa huduma stahiki mara nyingi hutelekeza wenza wao na kupelekea mdada kugeuka single mother (hapa nazungumzia wale wanaume ambao hawana jinsi zaidi ya kufumba macho na kuacha maji yajiendeshe yenyew kwenye mkondo wake)
3. Mimba zisizotarajiwa. Hapa naomba wadada watuelewe kidogo, sio Kila mwanaume anayekupenda ama kulala na wewe basi anamalengo na wewe, mwanamke unaweza kuwa mzuri lakini ukawa Bado sio chaguo la huyo mwanaume, kwaiyo uzuri na ndoa ni vitu viwili tofauti.... Zaa na mtu mwenye malengo na wewe. Ni ndoto ya Kila mwanaume kutembea na mwanamke mrembo ila ni wanaume wachache sana ambao Wana ndoto za kuoa wanawake warembo.
3. Historia mbovu ya mwanamke, kama wewe unajijua unahistoria mbovu jitahidi sana usizae, kwasababu huyo mtoto ndo atakua kithibitisho chako Cha tabia mbovu(hapa Kila mtu anaelewa).
Sasa nije Kwa aina ya single mother ambaye wewe mwanaume unaweza kufumba macho na kumuoa japo ubao utakua inasoma 1-0
Single mother ambaye Kwanza mtoto wake amefikisha umri kuanzia Miaka mitano, huyu tunasema tayar mzizi wa upendo na mzazi mwenzake umeanza kulegea ukielekea kukatika kabisa
2. Single mother ambaye hakupewa mimba na mume wa mtu(hapa Sina maelezo ila akili kumkichwa)
3. Jihidi kumjua mzazi mwenzake na ujifananishe naye Ili kuangalia ni vitu gani amekuzidi(wanawake hurudi walipotokea wakikosa vitu ambavyo wanavikosa kwenye mahusiano mapya)...rangi, kimo, uchumi, tabia, pumzi(code)
4.mawasiliano ya single mother na mzazi mwenzie ni mwiko na hayaruhusiwi kama wanataka kujadiliana habari za mtoto kwanini wasingeishi pamoja Ili walee mtoto wao vizuri? Vunja mawasiliano yao ikishindikana waache waendelee na maisha yao, haiwezekani gari Moja lilazimishe kupita Barbara ya mwendo Kasi
5.ikitokea umetoa single mother basi jitahidi kumkalisha fasta fasta Ili kumvuruga akili kwasababu kisaikolojia tunajua mwanamke anakumbuka wanaume wawili tu hapa duniani(aliyemtoa bikra na wakwanza kumkalisha). Rejea Kwa wazee wa zamani ukiona mama aliolewa akiwa na mtoto bas kinachofuata ni kulishwa Kwa haraka mno Ili kukata ule mzizi wa kula tunda kimasihara( zalisha kuanzia watoto watatu ndo unamuacha apumue)
Hayo yote juu hayawahusu masingle mother ambao wakipata ujauzito Kwa kubakwa
Au kuna jiji la instagram wanaishi huko huko?Ila wale wadada wa insta sijawahi kuwaona kitaa sijui kwa nini[emoji848]
😁😁Au kuna jiji la instagram wanaishi huko huko?
Kaka Hii nimeichukua kama ilivyo.4.mawasiliano ya single mother na mzazi mwenzie ni mwiko na hayaruhusiwi kama wanataka kujadiliana habari za mtoto kwanini wasingeishi pamoja Ili walee mtoto wao vizuri? Vunja mawasiliano yao ikishindikana waache waendelee na maisha yao, haiwezekani gari Moja lilazimishe kupita Barbara ya mwendo Kasi
Mi mwenyewe sijajua kwanini wanawake wazuri wanaishia kuwa Single mazas? Wengi wanazaa na wazee wenye pesa lakini hawawezi kuwaoa.Observation yangu, Single mothers wengi ni wazuri. Tena hasa hawa wa Insta ni hatari.
😂😂😂Hakuna aina ya single maza bob..usilegeze usike ukalia. Single maza ni simgle maza tu
Hii nzuriNafikiri kwa vijana ambao hawajaoa au kuolewa waanzishe huu utaratibu.
Hakuna kuoa mwanamke mwenye mtoto na hakuna kukubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto. Kila mtu arudi kwa yule mtu aliyezaa nae wakaanze maisha.
Hahahaaaa......Flames umelipuka kama jina lakoBado hamkomi sio? Mnajaribu kuitengenezea uafadhali, Mnaupaka usingle maza rangi nzuri ili uvutie kidogo sio? lakini me nawaambia kwamba hamna rangi mtaacha kuona
Kwanza kwanini abakwe yeye?Single maza ni tatizo tu hata ikiwa huo usingle unatokana na kubakwa haisaidii.
Cc: Shiishii Cc: Madam Ritha