Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

Tunawasakama sana single mothers vipi kuhusu single fathers?
Ingekuwa ni tatizo tungejadili humu mitandaoni ila tatizo linaloitwa single father halipo kwenye jamii sababu hakunaga kitu kama hicho.
 
Mbona tunawaonea sana single mama? Vipi kuhusu hao waliowazalisha? Maana kuna wanaume wenzetu wana kazi ya kusambaza mbegu tu kama majogoo, wengine wana watoto ila hawafahamu wapo wapi na wanaishi vipi.
Wao wanaopewa mbegu ndio wasiotumia akili maana wangekuwa wanajicontroll tabia sidhani kama tungekuwa na hili tatizo, mbona miaka ya nyuma alikuwapo liameanza kushika kasi miaka hii ya 2000.
 
Bado hamkomi sio? Mnajaribu kuitengenezea uafadhali, Mnaupaka usingle maza rangi nzuri ili uvutie kidogo sio? lakini me nawaambia kwamba hamna rangi mtaacha kuona
Nakumbuka kipindi fulani niliketi kitako na shangazi yangu akanipa mawaiza kuhusu kuoa single mother, kiukweli alinishauri kuwa nisije nikathubutu na alinishauri kama mtoto wake wa kiume. Akanambia kwamba hawezi kunipotosha kwenye jambo ambalo lipo wazi kabisa.
 
Ningekuonyesha hapa chatting history niliyoisave screenshot zake kati yangu na demu m'moja kipindi nikiwa chuo na nikuonyeshe sasa anachonambia aisee unaweza omba namba yake unisaidie kumtukana.

Demu tukiwa chuo nilikuwa nataka tujenge uchumba akawa ananiletea zile story za "ngoja kwanza nipambanie ndoto zangu, kwasasa mimi mapenzi sio kipaumbele" yule fala kuna kipindi alinitafuta ana ha ha kutengeneza mtoto anasema anataka awe na mtoto tu maisha atayajenga mwenyewe.

Namuona tu anajipost post status za WhatsApp anajifanya anasali sana saa hii. Atakuwa na 34. Hana mtoto bado. Anakaa na mdogo wake, mdogo wake keshachapwa mimba tayari wanalea mtoto pamoja, na amechukua mtoto wa kaka yake analea pia.

Sasa nikimtazama anasema ona jinga hili, hizi ndio ndoto zenyewe ulisema unapambania? [emoji848]
 
Siwezi kuona lisingo maza.singo maza ni laana,uchafu na matatizo mtupu.chukua toto mbichi umri wa miaka 16,17,18,19 Hadi 20.singo maza Huwa yanachuki na wapendanao.
 
Hakuna Wanawake wasiojitambua kama wanaojita single mothers... yani wao kila Mwanaume ATM, hata wapate mtu ana hudumia bado tu ujinga hawaachi...mie kujenga maisha na mtu ambaye anajiita single parent sisubutu tena...
 
Tunawasakama sana single mothers vipi kuhusu single fathers?
Single fathers ni wachache kwa kuwa mama zao hata kama wana tabia mbaya watabaki na watoto hadi ufikie umri kadhaa...huwaga inayokea, vifoo ama wale walio vurugwa wana susa tu watoto...
 
gi
Vijana wa kiume wa leo nao ni kama wamechanganyikiwa, kijana mdogo hana mtoto ila anaenda kuoa mwanamke mwenye mtoto. Huyo mwanamke akianza kwenda vikao vya malezi na mzazi mwenzie, kijana anapata shambilio la moyo anakufa.

Binti pia mdogo hana mtoto anakubali kuolewa na mtu mwenye watoto, kwanini usitafute mtu wa kufanana na wewe mkaanza moja?
 
vijana wengi wame lelewa hawana baba,wana mafanikio wana tamani maisha ambayo kwao walikosa....wana jikuta wapo humo...kama ume gundua ni vijana wengi ambao middle class wana maisha hayo...ni tatizo haswa pale yani mazoea yakutoa mimba, kutafutq mali sana...unajikuta 36 una mpenda mtu ana watoto...yani hii ni tatizo,upoo sahii hili ni tatizo
 
mie napenda kujiongelea kwa experience yangu....una 32,Mungu amukubariki una mtoto,umeachana naye kisa ame kucheat...kwa maisha uliyo pitia,una hisi aliye kuwa na mtoto ana jitambua uta kuelewa....kumbe ujinga tu ni majitu
 
single parent ni mtu ambaye hana msaada,"nina ku hudumia sema tume achana wewe siyo single parent".wana wake waki bongo wana tu fanya wanaume tujihisi useless."una jihita single parent kisa huna mahusiano mazuri na mzazi mwenza,wakati mwanaume ana timiza majukumu yake?(xul fees,rent,hela ya kula etc?).
 
Back
Top Bottom