Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujiandae kupata Umeme pia. Kama hujamweka ndani akawa mchepuko basi ujue ana michepuka kwa uchache sana mitatu. Na kila mtu anapiga kwa style yake.Single mother kwangu atabaki kuwa mchepuko tu siyo kuoa kama mke
Nafahamu wapo single maza wazuri na wanaojitambua ila kwangu ataishia kuwa mchepuko basi
Ukiona maelezo meeengii, ujue huu ni utakatishaji tu kama utakatishaji mwingine wowote haramu.Habarini na poleni na majukumu
Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers
Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za kwanini mwanamke anakuwa single mother.
1. Baba mtoto kukataa mimba au mtoto. Kiukweli hakuna jambo ambalo mwanaume huwa analichukia na kulikwepa Kwa gharama yoyote ile kama kulea mtoto asiye wake ama kusingiziwa mtoto. Mwanaume hakatai mtoto bila sababu mara nyingi inatokana na mwanaume kuona mienendo isiyo mizuri au matukio Fulani kutoka Kwa mwenza wake.. mwanaume akishaona 50/50 za mtoto huwa ni ngumu sana kumkubali mtoto na wengi huwa wanasubiria mpaka pale mtoto atakapokuwa na umri flani Ili waweze kuangalia kama wanafanana nao ndo waweze kutoa maamuzi rasmi.
2. Kipato kutokidhi mahitaji ya mwanamke pamoja na mtoto wake. Mwanaume kama hawezi kutoa huduma stahiki mara nyingi hutelekeza wenza wao na kupelekea mdada kugeuka single mother (hapa nazungumzia wale wanaume ambao hawana jinsi zaidi ya kufumba macho na kuacha maji yajiendeshe yenyew kwenye mkondo wake)
3. Mimba zisizotarajiwa. Hapa naomba wadada watuelewe kidogo, sio Kila mwanaume anayekupenda ama kulala na wewe basi anamalengo na wewe, mwanamke unaweza kuwa mzuri lakini ukawa Bado sio chaguo la huyo mwanaume, kwaiyo uzuri na ndoa ni vitu viwili tofauti.... Zaa na mtu mwenye malengo na wewe. Ni ndoto ya Kila mwanaume kutembea na mwanamke mrembo ila ni wanaume wachache sana ambao Wana ndoto za kuoa wanawake warembo.
3. Historia mbovu ya mwanamke, kama wewe unajijua unahistoria mbovu jitahidi sana usizae, kwasababu huyo mtoto ndo atakua kithibitisho chako Cha tabia mbovu(hapa Kila mtu anaelewa).
Sasa nije Kwa aina ya single mother ambaye wewe mwanaume unaweza kufumba macho na kumuoa japo ubao utakua inasoma 1-0
Single mother ambaye Kwanza mtoto wake amefikisha umri kuanzia Miaka mitano, huyu tunasema tayar mzizi wa upendo na mzazi mwenzake umeanza kulegea ukielekea kukatika kabisa
2. Single mother ambaye hakupewa mimba na mume wa mtu(hapa Sina maelezo ila akili kumkichwa)
3. Jihidi kumjua mzazi mwenzake na ujifananishe naye Ili kuangalia ni vitu gani amekuzidi(wanawake hurudi walipotokea wakikosa vitu ambavyo wanavikosa kwenye mahusiano mapya)...rangi, kimo, uchumi, tabia, pumzi(code)
4.mawasiliano ya single mother na mzazi mwenzie ni mwiko na hayaruhusiwi kama wanataka kujadiliana habari za mtoto kwanini wasingeishi pamoja Ili walee mtoto wao vizuri? Vunja mawasiliano yao ikishindikana waache waendelee na maisha yao, haiwezekani gari Moja lilazimishe kupita Barbara ya mwendo Kasi
5.ikitokea umetoa single mother basi jitahidi kumkalisha fasta fasta Ili kumvuruga akili kwasababu kisaikolojia tunajua mwanamke anakumbuka wanaume wawili tu hapa duniani(aliyemtoa bikra na wakwanza kumkalisha). Rejea Kwa wazee wa zamani ukiona mama aliolewa akiwa na mtoto bas kinachofuata ni kulishwa Kwa haraka mno Ili kukata ule mzizi wa kula tunda kimasihara( zalisha kuanzia watoto watatu ndo unamuacha apumue)
Hayo yote juu hayawahusu masingle mother ambao wakipata ujauzito Kwa kubakwa
Mimi siamini kama kuna ugonjwa unaitwa umeme (ukimwi)Ujiandae kupata Umeme pia. Kama hujamweka ndani akawa mchepuko basi ujue ana michepuka kwa uchache sana mitatu. Na kila mtu anapiga kwa style yake.
Peku peku, wengine mbele, wengine nyuma na mbele.
Ni hatari sana kuwa na Mchepuko Single maza kama unamkubali bora uoe tu
Hiiwezekani4.mawasiliano ya single mother na mzazi mwenzie ni mwiko na hayaruhusiwi kama wanataka kujadiliana habari za mtoto kwanini wasingeishi pamoja Ili walee mtoto wao vizuri? Vunja mawasiliano yao ikishindikana waache waendelee na maisha yao, haiwezekani gari Moja lilazimishe kupita Barbara ya mwendo Kasi
Be ready to be responsible.....usije ukaanza kulalamikia watu eti wanakunyanyapaa.Mimi siamini kama kuna ugonjwa unaitwa umeme (ukimwi)
Naamini magonjwa mengine kama kisonono, kaswende na mengine ya zinaa ambayo yanatibika
Ila siamini kama kuna ugonjwa usio na dawa unaitwa ukimwi!
Huwa najipigia tu siwazagi huo ugonjwa na nimeshalala na wengi bila Idadi hadi wale wanaojiuza bila idadi na siwazagi huo umeme!
Naweza kuwa na michepuko hata 10 ila official mke ni mmoja tu maisha yote mpaka nife
Sina muda wala nafasi ya kuwa na wake wawili
Single faza ndyo majipu haswaTunawasakama sana single mothers vipi kuhusu single fathers?
My papa alioa mmoja aliishia kuliwa pesa yote ya kustaafuIla inahitaji moyo sana kulea mtoto wa mwanaume mwenzio, wadada mtushukuru sana wanaume tunaofanya hivyo
Mimi sitaumwa huo ugonjwaBe ready to be responsible.....usije ukaanza kulalamikia watu eti wanakunyanyapaa.
Hata wanywa pombe na wavuta sigara huwa hawaamini mpaka yawakute.
Ni ushauri mzuri na unaonwa na wengi ila wa kuufuata hayupo hata mmoja 😀Nafikiri kwa vijana ambao hawajaoa au kuolewa waanzishe huu utaratibu.
Hakuna kuoa mwanamke mwenye mtoto na hakuna kukubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto. Kila mtu arudi kwa yule mtu aliyezaa nae wakaanze maisha.
Itakuwa wanatoka mida ya kazi unakuwa busy ofisiniIla wale wadada wa insta sijawahi kuwaona kitaa sijui kwa nini[emoji848]
😆😆Itakuwa wanatoka mida ya kazi unakuwa busy ofisini
Una kitu,usikilizweNafikiri kwa vijana ambao hawajaoa au kuolewa waanzishe huu utaratibu.
Hakuna kuoa mwanamke mwenye mtoto na hakuna kukubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto. Kila mtu arudi kwa yule mtu aliyezaa nae wakaanze maisha.
Mkuu wanywa pombe hawaamini nini?Be ready to be responsible.....usije ukaanza kulalamikia watu eti wanakunyanyapaa.
Hata wanywa pombe na wavuta sigara huwa hawaamini mpaka yawakute.
NakaziaHakuna aina ya single maza bob..usilegeze usike ukalia. Single maza ni simgle maza tu
UongoObservation yangu, Single mothers wengi ni wazuri. Tena hasa hawa wa Insta ni hatari.