Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

Mimi sitaumwa huo ugonjwa

Na Hakuna namna unaweza kubadili msimamo wangu

Sina muda wa kuoa wanawake wawili
Unayaamini sana yale madawa post 72 hours eeh, wee ukijegeja asubuhi unatupiamo mana utakuaje na uhakika kucheza rafu na usiumie?
 
Tatizo la wabinti wengi wakishakua vigori wanakimbilia masharobaro...wakati masharobaro wengi ni wauza sura tu sio maoaji...wakishazalishwa ndo akili zinawakaa sawa wanaanza kutafuta mwanaume yeyote mwenye malengo hata km ana sura km dk.remmy bt its too late coz nobody need them
 
Sio single mom wote wabaya, wengine wamepita kwenye mahusiano mabaya sana, kama mtu unajitoa kumpenda yeye na mwanae just have faith umepata mke mwema, na sio kwamba single mom wote ni wema, wengine wamebeba visas, wengine wapo kipesa zaidi. Mchunguze mtajua. Ila sisi ni watu wazuri tu wenye mioyo mema bas tu
 
Sio single mom wote wabaya, wengine wamepita kwenye mahusiano mabaya sana, kama mtu unajitoa kumpenda yeye na mwanae just have faith umepata mke mwema, na sio kwamba single mom wote ni wema, wengine wamebeba visas, wengine wapo kipesa zaidi. Mchunguze mtajua. Ila sisi ni watu wazuri tu wenye mioyo mema bas tu
Single mom yuko salama ikiwa tu baba wa mtoto wake hana habari nae. Lakini baba wa mtoto akikomaa tu kuwasiliana nae kwisha habar yake sijui kun bond gani baina yao lakini ni wepesi sana kurudisha mioyo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee sio wote. Kama mm aisee yule msela akijisikia anaongea na mwanae namtoa mtoto wanaongea mm nipo pembeni yaan hata ipite kitu cha ajabu tutaishia kuangalia no connection. Na hofu tu nikimwacha na mtoto atakimbia nae nisimuone tena.
 

Mbona tunawaonea sana single mama? Vipi kuhusu hao waliowazalisha? Maana kuna wanaume wenzetu wana kazi ya kusambaza mbegu tu kama majogoo, wengine wana watoto ila hawafahamu wapo wapi na wanaishi vipi.
Asil ya Mwanaume
 
Wewe jua ukikutana na mwanamke tayari ana watoto, hapo sio makao salama. Mabinti wapo kibao wanahitaji wanaume na hawajawahi kushikishwa ujauzito, why uanze na mtu mwenye mtoto au watoto hata kama ana sababu ipi why unachagua kuweka rehani future yako ya familia? [emoji848]

Huko vyuoni,mitaani, uraiani kuna mabinti kibao wanatafuta wanaume, wewe unaona wanawake ambao tayari wana makando kando yao, huoni una risk sana?

Unapambana kushawishi akili yako kuwa kifo cha sumu ni afadhali kuliko cha risasi au bomu, wewe kwann uchague kufa?

Pambania maisha yako tafuta mdada mwenye past safi uanze nae. Single mother atapambana na hali yake na atapeleka maisha yake ambapo alitongozwa na kuachika.
 
Back
Top Bottom