Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

Mengi ni ya kweli ila yanakinzana sana na wale 50/50 na wapigania haki za wanawake.
Subiri waje wakupopoe
 
Hii ni nzuri sana lakini ukiambia vijana ndiyo hawakuelewi.
Vijana wa kiume wa leo nao ni kama wamechanganyikiwa, kijana mdogo hana mtoto ila anaenda kuoa mwanamke mwenye mtoto. Huyo mwanamke akianza kwenda vikao vya malezi na mzazi mwenzie, kijana anapata shambilio la moyo anakufa.

Binti pia mdogo hana mtoto anakubali kuolewa na mtu mwenye watoto, kwanini usitafute mtu wa kufanana na wewe mkaanza moja?
 
1.Je, Kwa nini uoe single mother hasa ambaye mzazi mwenzie hajakufwa je?
2. Je! Unamuoa ili iweje je?
3.Je! Umekosa kabisa wanawake wengine wa kuoa je?(in brother K's voice)
 
Ikishachacha imechacha, haiwezi nakishiwa kwa kuchemshwa sana ama kuongezewa viungo vingi ili inukie vizuri.

Imeshachacha!
 
Kaka Hii nimeichukua kama ilivyo.

Kuna single Maza kaniganda aisee hadi nashindwa kuhema.
 
Nafikiri kwa vijana ambao hawajaoa au kuolewa waanzishe huu utaratibu.

Hakuna kuoa mwanamke mwenye mtoto na hakuna kukubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto. Kila mtu arudi kwa yule mtu aliyezaa nae wakaanze maisha.
Hii nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…