Ingekuwa ni tatizo tungejadili humu mitandaoni ila tatizo linaloitwa single father halipo kwenye jamii sababu hakunaga kitu kama hicho.Tunawasakama sana single mothers vipi kuhusu single fathers?
Wao wanaopewa mbegu ndio wasiotumia akili maana wangekuwa wanajicontroll tabia sidhani kama tungekuwa na hili tatizo, mbona miaka ya nyuma alikuwapo liameanza kushika kasi miaka hii ya 2000.
Mbona tunawaonea sana single mama? Vipi kuhusu hao waliowazalisha? Maana kuna wanaume wenzetu wana kazi ya kusambaza mbegu tu kama majogoo, wengine wana watoto ila hawafahamu wapo wapi na wanaishi vipi.
Nakumbuka kipindi fulani niliketi kitako na shangazi yangu akanipa mawaiza kuhusu kuoa single mother, kiukweli alinishauri kuwa nisije nikathubutu na alinishauri kama mtoto wake wa kiume. Akanambia kwamba hawezi kunipotosha kwenye jambo ambalo lipo wazi kabisa.Bado hamkomi sio? Mnajaribu kuitengenezea uafadhali, Mnaupaka usingle maza rangi nzuri ili uvutie kidogo sio? lakini me nawaambia kwamba hamna rangi mtaacha kuona
Single maza ni tatizo tu hata ikiwa huo usingle unatokana na kubakwa haisaidii.
Cc: Shiishii Cc: Madam Ritha
Hatari sana. MkuuObservation yangu, Single mothers wengi ni wazuri. Tena hasa hawa wa Insta ni hatari.
Punguza jazba mkuu umeandika kwa pupa sana. πππHakuna aina ya single maza bob..usilegeze usike ukalia. Single maza ni simgle maza tu
Single fathers ni wachache kwa kuwa mama zao hata kama wana tabia mbaya watabaki na watoto hadi ufikie umri kadhaa...huwaga inayokea, vifoo ama wale walio vurugwa wana susa tu watoto...Tunawasakama sana single mothers vipi kuhusu single fathers?
Vijana wa kiume wa leo nao ni kama wamechanganyikiwa, kijana mdogo hana mtoto ila anaenda kuoa mwanamke mwenye mtoto. Huyo mwanamke akianza kwenda vikao vya malezi na mzazi mwenzie, kijana anapata shambilio la moyo anakufa.
Binti pia mdogo hana mtoto anakubali kuolewa na mtu mwenye watoto, kwanini usitafute mtu wa kufanana na wewe mkaanza moja?
vijana wengi wame lelewa hawana baba,wana mafanikio wana tamani maisha ambayo kwao walikosa....wana jikuta wapo humo...kama ume gundua ni vijana wengi ambao middle class wana maisha hayo...ni tatizo haswa pale yani mazoea yakutoa mimba, kutafutq mali sana...unajikuta 36 una mpenda mtu ana watoto...yani hii ni tatizo,upoo sahii hili ni tatizoVijana wa kiume wa leo nao ni kama wamechanganyikiwa, kijana mdogo hana mtoto ila anaenda kuoa mwanamke mwenye mtoto. Huyo mwanamke akianza kwenda vikao vya malezi na mzazi mwenzie, kijana anapata shambilio la moyo anakufa.
Binti pia mdogo hana mtoto anakubali kuolewa na mtu mwenye watoto, kwanini usitafute mtu wa kufanana na wewe mkaanza moja?
mie napenda kujiongelea kwa experience yangu....una 32,Mungu amukubariki una mtoto,umeachana naye kisa ame kucheat...kwa maisha uliyo pitia,una hisi aliye kuwa na mtoto ana jitambua uta kuelewa....kumbe ujinga tu ni majituvijana wengi wame lelewa hawana baba,wana mafanikio wana tamani maisha ambayo kwao walikosa....wana jikuta wapo humo...kama ume gundua ni vijana wengi ambao middle class wana maisha hayo...ni tatizo haswa pale yani mazoea yakutoa mimba, kutafutq mali sana...unajikuta 36 una mpenda mtu ana watoto...yani hii ni tatizo,upoo sahii hili ni tatizo