Pre GE2025 Aina ya Watu wanaohudhuria Mikutano ya Dkt. Nchimbi huko Mikoani inafikirisha sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa picha imechukuliwa eneo moja tu,,ndio litoe taswira nzima ya wahudhuriaji?

Mnamkwama wapi chadema?
 
Sio sawa kupiga picha za mama zetu vijijini na kuzitundika jukwaani ,huu ni udhalilishaji.
Wengi wetu humi jukwaani tunajielewa sana,sio fair kupiga picha kijisehemu kidogo cha mkusanyiko chenye some details kusambaza.
Stay to be corrected.
 
Huwa na question sana utimamu wa mtu kama wewe unakaa chini kujibu hoja contrary na vile mleta mada ameleta yake.

Mleta mada hakuna mahali ametaja chama chochote cha siasa sio chadema wala ccm. Hakuna mahali amesema anaiwakilisha Chadema lakini mwisho wa siku umeamua tu kujitoa ufahamu na kuanza kuishambulia Chadema.

Siku nyingine jikite kwenye mada usiyumbishwe na mihemko.
 
Sasa unashangaa kitu Gani?Siku zote hao ndiyo wapiga kura wa CCM,we unadanganyika na zile MOBB za wale GENZ wa kibongo bongo na drama za?Siasa za bongo ni hesabu Kali Babu....
 
Hii propaganda mfu ilishafeli kitambo sana, huyo mtu wenu huku Kanda ya Ziwa ndiyo hatuna habari naye kabisa.
 
CCM ipo madarakani kwa wizi wa kura na haitegemei sanduku la kura. Siku vyombo vya dola vitakapojitenga na uharamia wa kuisadia CCM kuvuruga uchaguzi ndiyo itakuwa mwisho wa CCM.
 
Yote umetunga.Na ile taasisi iliyotoa taarifa ya wanaoishabikia zaidi CCM nayo ni CHADEMA?
 
Swali ni kwanini wanaohudhuria mikutano ya Nchimbi ni watu wa aina hii?
Kuna wakati unakuwa very low, hao watu wana shida gani hapo? Kuna mama, shangazi, wake, na dada zetu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…