Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Kwahiyo mwendazake alikuwa ana sifa hizo tajwa hapo juu sio!!!
Hiyo namba nne,napingana na Wewe kinyama;Hivi Magufuli alikuwa na Elimu ya chini?,Kuna Maprofesa wanaipinga kimya kimya.Wewe km umechanja basi poa, tuliza mshono .Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno
Umeeleza Uongo mtupu kwa maana hata Gwajima anavyo vyote hivyo....
1. Ana elemu..kwa maana ni DR
2. Ana ajira kwa maana ni Mbunge na Ni Askofu
3. Ni Mlokole
4. Anasafiri nje mara kwa mara
Namba 4. Wingi wao au Many of them inawezekana yuko kwenye few of themHiyo namba nne,napingana na Wewe kinyama;Hivi Magufuli alikuwa na Elimu ya chini?,Kuna Maprofesa wanaipinga kimya kimya.Wewe km umechanja basi poa, tuliza mshono .
Mleta maada ameeleza vipengele ambavyo amesema wanaopinga chanjo hawana...Gwa J ni kundi la waganga njaa analinda wauminii
Namba 4. Mimi nina elimu ya juu ambayo naamini hakuna mtu kwenye ukoo wenu atakua nayo ama atakuja kua nayo lakini sichanji.
Kama unachanja wewe chanja, ambae hataki kuchanja pia asichanje.
Huna sababu ya kushambulia watu kwa sababu ya uhuru wao juu ya matumizi ya miili yao.
Mleta maada ameeleza vipengele ambavyo amesema wanaopinga chanjo hawana...
Lakini Bishop Gwajima anavyo vyote hivyo...
Ni msafiri mara kwa mara USA , Asia, nk
Ana elimu,
Ana Fwedha
ana Ajira ni Mbunge na Askofu
Na bado anapinga chanjo
Unapoongea kuhusu jambo fulani lazima uwe Umefanya Sensa ya kutosha.Mimi nipo SUA juzi kulikuwa na Kampeni kabambe ya chanjo lkn Idadi ilikuwa ndogo Sana, wakati Chuo hiki kina Watumishi Wanataaluma karibia 1000, Maprofesa zaidi ya 100,lkn waliojitokeza ni chini ya asilimia 40%.Namba 4. Wingi wao au Many of them inawezekana yuko kwenye few of them
Wewe ndio hamnazo kwenye kiswahili hicho hicho, Magufuli aliipinga hiyo chanjo unayoingelea kabla hata haijafika, na hizo sifa zako zote hakuwa nazo. AlikuwaNahisi una shida ya kuelewa kiswahili!! Mimi naongelea chanjo inayoendelea sasa hivi ambayo imekuwa launched tarehe 29/7/2021 wakati mwenda zake alitutoka kuanzia march 2021. Sasa sijui unaongelea nini ndugu yangu au unamhusisha nini mwendazake na chanjo inayoendelea
Eti Dr. Kutoka chuo kikuu kipi?Umeeleza Uongo mtupu kwa maana hata Gwajima anavyo vyote hivyo....
1. Ana elemu..kwa maana ni DR
2. Ana ajira kwa maana ni Mbunge na Ni Askofu
3. Ni Mlokole
4. Anasafiri nje mara kwa mara
Hivi unadhani kuelimika ni kuwa na idadi nyingi ya shahada?Namba 4. Mimi nina elimu ya juu ambayo naamini hakuna mtu kwenye ukoo wenu atakua nayo ama atakuja kua nayo lakini sichanji.
Kama unachanja wewe chanja, ambae hataki kuchanja pia asichanje.
Huna sababu ya kushambulia watu kwa sababu ya uhuru wao juu ya matumizi ya miili yao.
Hakuna msafiri ambae hatachanja chanjo labda awadanganye huku kuwa ajachanja maana hamuwezi kuhoji sasa hivi balozi zote hata Airport kitu cha muhimu ni kipimo cha corona au chanjo ukifeli hata safari inakatishwa au labda uzungumzie safari za Kigoma na Mwanza...Umeeleza Uongo mtupu kwa maana hata Gwajima anavyo vyote hivyo....
1. Ana elemu..kwa maana ni DR
2. Ana ajira kwa maana ni Mbunge na Ni Askofu
3. Ni Mlokole
4. Anasafiri nje mara kwa mara
Hao Ma professor mbona kama wako makini si na wao waende maabara kugundua chanjo wanabaki ku critisize chanjo za wenzao.Unapoongea kuhusu jambo fulani lazima uwe Umefanya Sensa ya kutosha.Mimi nipo SUA juzi kulikuwa na Kampeni kabambe ya chanjo lkn Idadi ilikuwa ndogo Sana, wakati Chuo hiki kina Watumishi Wanataaluma karibia 1000, Maprofesa zaidi ya 100,lkn waliojitokeza ni chini ya asilimia 40%.