BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,585
- 11,601
Elimu? Gwajima huyuhuyu? Du!Mleta maada ameeleza vipengele ambavyo amesema wanaopinga chanjo hawana...
Lakini Bishop Gwajima anavyo vyote hivyo...
Ni msafiri mara kwa mara USA , Asia, nk
Ana elimu,
Ana Fwedha
ana Ajira ni Mbunge na Askofu
Na bado anapinga chanjo