damper
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 773
- 835
Wagonjwa wa kisukari na waathirika wa ukimwi wamejitokeza kwa wingi kupata hii chanjo.Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo.
1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji
2. Walokole kindakindaki
3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote
4. Wengi wao wana elimu za chini mno