hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
Kama Ambao hawaitaki ni 90%Hiyo namba nne,napingana na Wewe kinyama;Hivi Magufuli alikuwa na Elimu ya chini?,Kuna Maprofesa wanaipinga kimya kimya.Wewe km umechanja basi poa, tuliza mshono .
Ukisema wanyooshe mikono utaona 2% ya watu kama gwaji boy .