Aina ya watu wasiotaka chanjo ya Uviko-19

Mleta maada ameeleza vipengele ambavyo amesema wanaopinga chanjo hawana...
Lakini Bishop Gwajima anavyo vyote hivyo...

Ni msafiri mara kwa mara USA , Asia, nk

Ana elimu,

Ana Fwedha

ana Ajira ni Mbunge na Askofu

Na bado anapinga chanjo
Elimu? Gwajima huyuhuyu? Du!
 
Wenye Elimu kweli hawawezi kuongea hivyo labda zile magumashi sio Elimu kubwa hata Elimu ndogo tu...
 
Elimu? Gwajima huyuhuyu? Du!

Hivi kwanza Gwa J ana elimu gani??? Labda iweke hapa tuone kama tunatakiwa kumuingiza kwenye mjadala. Mimi

Mimi hapa B.A Economicics - UD 2000 na M.A Economics Cardiff - UK 2005
 
Haya sio mawazo yako tu. Kuna nyongeza kichwani mwako. Yaani unaelekea kuwa
 
Kwani hujasikia kuwa Chuo kikuu Cha SUA kishirikiana na chuo kikuu Cha Afya Muhimbili na NIMRI wanaanza mchakakato wa kutengeneza chanjo??.

Sasa waheshimu step waliyochukua wenzao tayari na wao waendelee na michakato yao huku watu wakiendelea kuteseka.
The problem with you guys hamhui how economically we had adversely been affected na sera za mwendazake kwa kitendo cha kutokubali chanjo na bado wasomi wanataka waendelee ku criticize.
 
Mleta maada ameeleza vipengele ambavyo amesema wanaopinga chanjo hawana...
Lakini Bishop Gwajima anavyo vyote hivyo...

Ni msafiri mara kwa mara USA , Asia, nk

Ana elimu,

Ana Fwedha

ana Ajira ni Mbunge na Askofu

Na bado anapinga chanjo
Mkuu mtu mwenyea elimu anaweza kuhubiri kanisani kuwa Corona ni 5G network. Yani korona ikawe mtandao wa internet. Are serious.
 
Tatizo ni kwamba maswali mengi kuhusu ubora wa hiyo chanjo hayapewi Majibu mazuri.
 
Wote mnaochangia kwa kumpinga, mnampinga kwa kutoa mfano wa mtu mmoja mmoja wakati uzi unasema "WENGI WAO" ikiwa na maana si wote!
Shule ziendelee kujengwa
 
Kwani kutokujitokeza kwenye kampong fulani ndiyo kupinga kampeni? Kuna vitu vingi vinachangaikia program kutofikia Malengo hasa muda wa tukio kwa walengwa
 
Umezunguka sana halafu umejitahidi kujitetea sana , jamaa kauliza swali zuri maana hata late magufuli alipinga sana chanjo za covid 19 .

Sasa mkuu hebu wacha stori nyingi halafu mjibu muuliza swali ili wengine tupate faida.

N.b
Pointi ulizoweka hapo sio zote zina ukweli baadhi tu ndiyo zina mashiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uliyoandika hapo ni upuuzi mtupu.Ninao ushahidi mwingi ulio wazi kwamba watu ambao hawapendi chanjo ni wale ambao wana akili,ni wadadisi na wanapenda sana ku-research on many issues,they do not take anything at face value.Infact Mr Global,the NWO cabal or the Davos Group wamesema wazi,yetote atayaye kubali chanjo ni stupid,loon and idiot,kwa hiyo anastahili kupunguzwa.Labda ukisoma na kusikuliza hizi clips utajitambua uko wapi.So unataka kuniambia hao wazungu wanaoandama kupinga chanjo hawajasoma,Prof.Mike Yeadon aliyekuwa Vice President wa Pfizer hajasoma,wewe ndiye umesoma.Mimi hapa ni Microbiologist nime specialize kwenye Virology,na napinga hicho kinachoitwa chanjo kimakosa.It ia simply not a vaccine,it is a poison,a DNA operating system and much more.



 

Attachments

  • VID-20210729-WA0002.mp4
    7.7 MB
  • VID-20210729-WA0002.mp4
    7.7 MB
  • VID-20210723-WA0002.mp4
    6 MB

Hebu angalia hapa pia:

 
Huko kwenye chanjo yenyewe bado kuna wanaoipinga na wana ajira zao nzuri tu wanatishiwa kutimuliwa wasipochanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…