Aina ya watu wasiotaka chanjo ya Uviko-19


Wapinga chanjo kwetu % kubwa ni wapinga katiba mpya pia. Wapinga chanjo kwetu % kubwa ni CCM.

Takwimu hizi ni authentic:

 
wameshasema chanjo ni hiyari wewe kukaa na kuanza kufatilia kwanini wengine wanapinga chanjo inaonyesha huna shuguri ya kufanya kama ungekuwa nayo ungechanja ukaendelea na shuguri zako na sio kuleta umbea.
 
Unazungumzia chuo chenye dawa ya corona. Yaani potion ya kutibu virus.
Sidhani kama hao maprofesa wana uelewa. They are not enlightened.
 
Ukitoa tu namba 2,zingine zote umenipata
 
Umeeleza Uongo mtupu kwa maana hata Gwajima anavyo vyote hivyo....

1. Ana elemu..kwa maana ni DR

2. Ana ajira kwa maana ni Mbunge na Ni Askofu

3. Ni Mlokole

4. Anasafiri nje mara kwa mara
Gwajima ni mjinga
 
Hapa kwetu tz Hii chanjo ni kama wale jamaa wa goodmorning au Don't share. Mtu akishachanja ni mwendo wa kupiga campain ili tuwe wengi.
 
mbona mnawaandama sana wasiotaka kuchanjwa? kuchanja ni hiari kama ilivo kupiga kura tu either uchague ccm au Nccr mageuzi.
 
Mleta maada ameeleza vipengele ambavyo amesema wanaopinga chanjo hawana...
Lakini Bishop Gwajima anavyo vyote hivyo...

Ni msafiri mara kwa mara USA , Asia, nk

Ana elimu,

Ana Fwedha

ana Ajira ni Mbunge na Askofu

Na bado anapinga chanjo
Kwenye list yake alisaahau:
5. kusuma gang/mataga.
6. Pro legacy. Gwajima yupo kwenye haya makundi.
 
Ukitukanwa utaaanza kulia lia, mbwa wewe
 
Eti huyu nae ni msomi na anasafiri nje ya nchi 🤣🤣🤣
 

Na mataahira/idiots
 
mara nyingi wanaojivunia elimu utakuta ni wale wenye elimu za kuung na super glue.
ila imeishaelezwa kuchanja ni hiari,kama upo kwenye makundi yasiyotajwa happo wahi ukachanje.
na kama umeishachanjwa ngoja tuone mwaka mmoja upite,tujiridhishe
 
Mleta maada ameeleza vipengele ambavyo amesema wanaopinga chanjo hawana...
Lakini Bishop Gwajima anavyo vyote hivyo...

Ni msafiri mara kwa mara USA , Asia, nk

Ana elimu,

Ana Fwedha

ana Ajira ni Mbunge na Askofu

Na bado anapinga chanjo
Gwajima hana elimu. Ni mbabaishaji tu. Kujua kiingereza siyo elimu. Na huwo ''udokta'' wake ni fake. Pia ajira yake inategemea uzwazwa wa watu wengine. Wakijanjaruka watu wengi nakuhakikishia atakuwa choka mbaya sana.
 
Wewe je haumo kwenye kundi hili?
 
Kuna watu maishani kwao hawajawahi hata kuugua mafua, malaria wala homa... chanjo tena
 
Na hayo makundi ndio yenye watu wengi Tanzania.
 
hiyo namba mbili umelenga mle mle.

Ijapokuwa imeandikwa: Ya Mungu mpeni Mungu na Ya Kaisari apewe Kaisari. Ndugu zetu kindakindaki hata ya Kaisari wanampa Mungu.

Acha tuone!
 
Watu wengi waliogopa kuwa chanjo imefanyiwa utafiti kwa muda mfupi lakini baadhi ya wataalam wamejibu kuwa chanjo zilizofanyiwa utafiti MIAKA 17 iliyopita za kirusi cha SARS kilichoibua homa ya mapafu mwaka 2003 ulaya na MIAKA hiyo hiyo Saudi Arabia zimesaport Chanjo ya kirusi hiki cha SARS COVID 2 kuwa fanisi kwani virusi HIVI ni jamii moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…