Aina za wake (Type of wives)

Aina za wake (Type of wives)

Kisa chako kinachekesha Sheikh! Sasa hao wadada nao wanakubalije chap chap waolewe bila kupitia hata uchumba mjuane
Mkuu unaweza ukaona kama nachangamsha kenge.
Ila Unguja na Pemba yake kuna walilia ndoa wengi sana.
Na mbaya zaidi nimewaambia mie mbara/mnyamwezi.
Sasa hivi watu wa kisiwani wanawakubali sana wanaume wa bara kwasababu wanasema tuko serious,humble,tuna hekima na busara.
Vijana wa pwani/kisiwani watoto wa mama,busara hawana pia ni watu wa kuacha acha sana.
Ndio maana idadi ya talaka visiwani imekua kubwa maana vijana wa kule akili ndogo kwenye kuhimili ndoa.
Mabinti ama familia za kule zikikuona kijana unavutia ama umewavutia kimuonekano machoni pia unajulikana na moja kati ya ndugu zao,basi guarantee yao kuhusu wewe inakua ndugu yao anayekujua.
Na binti hakatai anakubali,maana anajua nikikataa naolewa na nani huku visiwani!Visiwani enyewe imejaa vijana wa hovyo.
Tembea ukajionee kaka.
 
Naiba maandazi 😂😂
Acha bas mkuu!😂😂😂😂😂🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
Yani unakazana uko serious eti mwizi,mwizi wa nini,wa maandazi!?
🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️😂😂Jinga wewe.
 
Mkuu unaweza ukaona kama nachangamsha kenge.
Ila Unguja na Pemba yake kuna walilia ndoa wengi sana.
Na mbaya zaidi nimewaambia mie mbara/mnyamwezi.
Sasa hivi watu wa kisiwani wanawakubali sana wanaume wa bara kwasababu wanasema tuko serious,humble,tuna hekima na busara.
Vijana wa pwani/kisiwani watoto wa mama,busara hawana pia ni watu wa kuacha acha sana.
Ndio maana idadi ya talaka visiwani imekua kubwa maana vijana wa kule akili ndogo kwenye kuhimili ndoa.
Mabinti ama familia za kule zikikuona kijana unavutia ama umewavutia kimuonekano pia unajulikana na moja kati ya ndugu zao,basi guarantee yao kuhusu wewe inakua ndugu yao anayekujua.
Na binti hakatai anakubali,maana anajua nikikataa naolewa na nani huku visiwani!Visiwani enyewe imejaa vijana wa hovyo.
Tembea ukajionee kaka.
Vijana wa kipemba sio wachacharikaji sana Kuna Moja nlisoma nae yaani tumemaliza tu form six akaoa hana kazi hatafuti Hela anategemea ndugu zake wa huko uarabuni wamtumie Hela, sasa wale kuwezana na wa huku bara ni ngumu huku wote dabi dabi mwanamke anatafuta mwanaume anatafuta
 
Wanawake wa visiwani ndio wanataka wanaume wa bara.
Kwasababu wanadai wanaume wa bara tumepevuka kiakili haswa kimaamuzi.
Ila vijana wapemba akili za kivulana wanakua umri na mwili tu ila kimaamuzi ni mapopoma.
Kwa wao wanavyodai wanawake wa kipemba.
 
Back
Top Bottom