Aina za wake (Type of wives)

Aina za wake (Type of wives)

๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„Aaah weeh!
Ili itoke idhini usikie "Aaliyah enda ukamuandae na Safiya,maana huyu kijana alokuja na Mpaji Mungu amfaa sana,wacha tumalize ndoa ya pili".
Mimi sio Mpemba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚acha kumtisha mwenzio
 
af kuna sisi ni Zote hizo 10, depending on what, who, how, when , why
 
Mkuu eb funguka kidogo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kuna jamaa yangu bhana ni Myemeni anafanya kazi kampuni ya FMS.
Kuna ndugu wa mbali uko Unguja aliposwa kama mara 2 wachumba wamelipa mahari siku ya ndoa wanakimbia.
Sasa binti akawa mnyonge analia sana.
Siku jamaa yangu akaambiwa na baba ake nenda Bububu kule ankal wako anakuita,jamaa hajaambiwa anaitiwa nini.Akajiandaa kuja,kipindi anajiandaa kuja mie nilikua nipo Unguja teyari nimefikia Zantel,Zantel na skuli sio mbali.
Alivyofika akanicheki siku inayofuata tukaongozana pamoja,maana jamaa ni mgumu kulala sehemu nje na nyumbani hata ikiwa kwa ndugu,alikodi lodge asubuhi akaja tukaongozana.
Kufika jamaa anakuta halwa,visheti na kashata za kushantaa,mabirika ya maziwa na kahawa,mikeka ya kushanta.
Tukakaribishwa bwana.
Eeeeh!Kukaa na kukaa ikapigwa duah jamaa akaambiwa itabidi umuoe binam yako tena mchana wa saa saba.
Mahari babayo kashakulipia saa saba baada ya swalah ya adhuhuri unaoa.
Aiseee!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nilipigwa na butwaa.
Kukaa na kukaa mama mtu akadakia.
"Halafu huyu jamaayo aonekana msomi na miwani yake,embu muite tuongee naye".
Mkuu niliulizwa maswali,na mimi nilivyo bwege nikafunguka.
Aiiiish!Natoka sebuleni baada ya ndoa ya jamaa tukazuiliwa kuondoka.
Mama wa mabinti akasema "vijana wapo mabinti tunao,huyu kijana kama Balawi anamfahamu uzuri kwanini tusimpe Zakia amuoe!?Zakia mkubwa vooo na azeekea nyumbani".
Shekhe bimdashi alinishawishi yani kama ananitongoza vile.
Mie nilikataa nikidai nishaoa.
Alisisitiza hadi kuongeza mke wa pili nilimwambia ndoa haitaswihi kwa kulazimishwa.
Basi tulilala asubuhi jamaa akanipa jukumu la kumsindikiza na mkewe hadi Dar.
 
Kisa chako kinachekesha Sheikh! Sasa hao wadada nao wanakubalije chap chap waolewe bila kupitia hata uchumba mjuane
 
Back
Top Bottom