Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Acha kujizeesha ww bado binti mdogo sanaUzee wote huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujizeesha ww bado binti mdogo sanaUzee wote huu
Njombe nn wew 😃😃😃Namba 8 utampata wapi wakati wote walishaolewa.
Chukua namba 3 mkuu maana kwa ulivyo wewe namba 2 hamtawezana ( namba 2 wengi hutokea Kilimanjaro hasa hapo Kibosho)
Namba tatu itaipata Dar, Same, Lushoto, Njombe na ewaaa Ukerewe)
🤣🤣🤣 hata najali basi, sisi kausha damu kwetu buruuuudaniWe huna sifa hata Moja zilizotajwa hapo 😁😁aliyekuweka ndani kazi anayo
😂😂😂 Kuna kitu kilitokea ghafla nikajikuta niko JF bae 😘🙄Nikajua upo unakoroma saiv
Kaka unaye na unatamba naye wii ushindwe weyee tyuuu..!! 😍Nipo hapa mahi Wii,mtu wa maana kabisa
Hebu mshtue kakaako nimemmiss
🤣🤣🤣🤣Usiwastue wakiamka tutakoma hayo malalamiko😂😂😂
My Wii usiniambie kwahiyo niandae nyonga na mazoezi ya kulegeza jicho 😀😀😀Kaka unaye na unatamba naye wii ushindwe weyee tyuuu..!! 😍
Nampa ujumbe wake ss hivi, halafu wii kaka kuna dili kapiga kachafuka pesa. Sijui unafeli wewe?? Mizimu ya kwenu haipendi PESA 😂😂😂
Eeee ndio 😂😂😂My Wii usiniambie kwahiyo niandae nyonga na mazoezi ya kulegeza jicho 😀😀😀
Yaani Wii nitajiandaa vya kutosha atakuja kusimulia 😂😂😂had awaite ma x zake mbwaEeee ndio 😂😂😂
Mi style ya kutukunyuka yote ijae kichwani, mkinga yule hajui vitu vya pwani.
🤸♀️ Hapo chacha.!!Yaani Wii nitajiandaa vya kutosha atakuja kusimulia 😂😂😂had awaite ma x zake mbwa
Shemeji. Njombe mnaongoza kwa wivu.Njombe nn wew 😃😃😃
Aiseee!My Wii usiniambie kwahiyo niandae nyonga na mazoezi ya kulegeza jicho 😀😀😀
😂😂😂Aiseee!
Lamomy kwisha tuharibia mpemba wetu🙆🏿♂️🙆🏿♂️😂😂😂😂.
Wapemba na kulegeza nyonga wapi kwa wapi!?
Na hii mbinu ya kununa na kisirani wanatumia kuficha makosa Yao ya kukutawalaKuna kudeka na kuna kisirani.
Ununaji wa hovyo wa kiholela holela wa kimwantumu hakuna mwanaume anaupenda,pia utakomaa sura mapema na kuzeeka bure msichana.
Sio tu hiko wanafichaga mengine mengi zaidi.Na hii mbinu ya kununa na kisirani wanatumia kuficha makosa Yao ya kukutawala
😂😂😂😂 Mwanamke lazima uwe na nyonga laini buana we niaje?Aiseee!
Lamomy kwisha tuharibia mpemba wetu🙆🏿♂️🙆🏿♂️😂😂😂😂.
Wapemba na kulegeza nyonga wapi kwa wapi!?
Aisee ndio kukilegeza ukitaka kufanya mipango ya kausha damu!?😂😂😂😂 Mwanamke lazima uwe na nyonga laini buana we niaje?
😂😂😂 Kaka naye si anafaidiAisee ndio kukilegeza ukitaka kufanya mipango ya kausha damu!?
😂🙆🏿♂️🙆🏿♂️Kweli adui wa mtu ni mtuwe.
Na wewe wamtia kakaako kikaangoni kabisaa!?
Ila sio kwa kumkausha blood namnahiyo duuh!😂😂😂 Kaka naye si anafaidi