Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Wakiolewa na watu wa makabila yao ila nje ya hapo ni headache4.Wamag'ati - 89.25%
5.Waha - 89.23%
6.Wamatengo - 89.01%
7.Wangoni - 88.00%
8.Wachaga - 87.99%
Hakuna wanandoa waliokufa hapo katikati ya hicho kipindi, je hawajaathiri hiyo percentile?Utafiti huu umefanyika kwa miaka 25 kwa kufaatilia ndoa ambazo zinadumu mfano asilimia 88 ya wanawake wa kingoni ambao waliolewa walidumu kwenye ndoa zao tangu utafiti uanze na 12% waliachika
Je Dar yenye mchanganyiko wa makabila yenye ndoa 300 zinazovunjika kila mwezi imehusishwaje kwenye utafiti huu?Lengo la utafiti ni kubaini mila ambazo zinaathiri ndoa katika jamii ili kutatua tatizo la kuvunjika kwa ndoa ambao haathiri watoto
Atalizwa kama atakomalia huu utafiti wasambaa wapo vizuri mbonaNdoa na kabila wapi na wapi? Wanawake wote wanataka pesa, maisha mazuri sasa wewe jifanye unaleta makabila rudisha kwa wahenga enzi za ujamaa
Kama ikimpendeza awatoe nje kabisa, Mngoni kuchepuka hazuiliki ni kama Mpogoro.
Sent using Jamii Forums mobile app