Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

miongoni mwa ya faida kubwa za mke wa kichaga anavumilia sana na wachapakazi sana kuliko hata wote hapo juu sema asiingiwe na kale ka roho cha kukill mwanaume.
 
Wachaga tupo vzur sema ng'ombe za kipalestina znatuaribiaga hazifai kabsa
 
Wasambaa ndo namba moja wacha ujinga wako wasambaa wanakaa kwenye ndoa sijawai kuona msambaa kaachwa
 
Wakuu Kwema.
.
Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za vijijini ndio zinadumu kuliko za mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa kidini na kikatiba {kanisani miskitini na mahakani}
.
Utafiti unaonyesha wanawake wa makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama ifuatavyo.
1.Wasukuma 97.02%
2.Wakurya 96.99%
3.Wamasai 94.07%
4.Wahehe 89.25%
5.Waha 89.23%
6.Wamatengo 89.01%
7.Wangoni 88.00%
8.Wachaga 87.99%
9.Wafipa 87.82%
10.Wahangaza 85.05%
11.Wakinga 85.03%
12.Wabena 85.01%
13.Wamang'ati 83.08%
15.Wapare 79.00%
16.Wahaya 56.31%
17.Wanyamwezi 50%
18.Wajita 43.07%
19.Wagogo 40.92%
20.Wasambaa 39.78%.
.
Utafiti huu umefanyika kwa miaka 25 kwa kufaatilia ndoa ambazo zinadumu mfano asilimia 88 ya wanawake wa kingoni ambao waliolewa walidumu kwenye ndoa zao tangu utafiti uanze na 12% waliachika.
.
Lengo la utafiti ni kubaini mila ambazo zinaathiri ndoa katika jamii ili kutatua tatizo la kuvunjika kwa ndoa ambao huaathiri watoto
Screenshot_20220210-165939.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafiti umefanywa na nani na kwa muda gani?
 
Ni ndoa ambazo ni rahisi sana kuachana, na katika jamii hazithaminiki ni km huna ndoa tu
 
Back
Top Bottom