Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Kwahiyo wajita ni
1: wajuaji
2:ugomvi unaingiliwa na mama mkwe mjomba Kaka na wake za kaka zao?
3:Wanadharau
4:..,......,.........
 
Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani)

Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama ifuatavyo
1.Wasukuma - 97.02%
Wanyakyusa wapi
 
Kwahiyo sisi wengine hatudum[emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kwa kuwa makabila yapo zaidi ya 120 Tanzania, basi yalojitoteza hapo yote ni bora bila kujali ukubwa wa asilimia ambazo kimsingi haziakisi kabila jingine bali lilelile.

Anyway, tuliopo kwenye ndoa tunajua mengi na kwamba takwimu hizo mbali na elimu ilotolewa na mtoa mada, hazina uhalisia wowote. Mi nilioa mwanamke niliyemtoa bikira nikiamini nimepata chagua sahihi kwa mujibu wa imani ya jamii kuwahusu wenye bikira, bado najuta why I got married to her. Ndoa za sasa ni kizungumkuti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom