Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za vijijini ndio zinadumu kuliko za mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa kidini na kikatiba
{kanisani miskitini na mahakani}
Utafiti unaonyesha wanawake wa makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama ifuatavyo



Hapo namba 20 mmekosea nini maana nawasikiaga ni wavumilivu sana
 
Kwa kuwa makabila yapo zaidi ya 120 Tanzania, basi yalojitoteza hapo yote ni bora bila kujali ukubwa wa asilimia ambazo kimsingi haziakisi kabila jingine bali lilelile.

Anyway, tuliopo kwenye ndoa tunajua mengi na kwamba takwimu hizo mbali na elimu ilotolewa na mtoa mada, hazina uhalisia wowote. Mi nilioa mwanamke niliyemtoa bikira nikiamini nimepata chagua sahihi kwa mujibu wa imani ya jamii kuwahusu wenye bikira, bado najuta why I got married to her. Ndoa za sasa ni kizungumkuti.

Sent using Jamii Forums mobile app




Hapo sawa na pole sana
Vipi kuhusu msambaa mwenye kuijua vizuri wadau..
 
Kuna chembe ya ukweli maana makabila mengine ( baadhi ya Pwani ) ni kweli hawadumu kwenye ndoa mfano bi Asha anaolewa na mme wa1 wanashindwana anapewa talaka anapendwa na Mudy anafunga ndoa tena baada ya miaka 2 talaka tena kitu ambacho mikoa furani huwezi kukikuta kamwe.
Samahani kwa mtizamo sina maana ya kibaguzi ni hali ambayo imewaadhili hadi rafiki zangu
Kwa mikoa ya pwani swala la kuachana ni sifa kwao kwa mwanamke na mwanaume mwanamke Kama hajaachika bado hajakamilika paka ahesabu kuanzia ndoa mbili na kuendelea ukitaka mwanamke wa kudumu nae owa alie achika kuanzia mara mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mikoa ya pwani swala la kuachana ni sifa kwao kwa mwanamke na mwanaume mwanamke Kama hajaachika bado hajakamilika paka ahesabu kuanzia ndoa mbili na kuendelea ukitaka mwanamke wa kudumu nae owa alie achika kuanzia mara mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli kabisa mkuu , sikulijua before mpka aliponibwagia watoto wa 2 kasepa zake bila sababu ya msingi
 
Back
Top Bottom