Wahehe #1Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za vijijini ndio zinadumu kuliko za mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa kidini na kikatiba
{kanisani miskitini na mahakani}
Utafiti unaonyesha wanawake wa makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama ifuatavyo
1.Wasukuma 97.02%
2.Wakurya 96.99%
3.Wamasai 94.07%
4.Wamag'ati 89.25%
5.Waha 89.23%
6.Wamatengo 89.01%
7.Wangoni 88.00%
8.Wachaga 87.99%
9.Wafipa 87.82%
10.Wahangaza 85.05%
11.Wakinga 85.03%
12.Wabena 85.01%
13.Wahehe 83.08%
15.Wapare 79.00%
16.Wahaya 56.31%
17.Wanyamwezi 50%
18.Wajita 43.07%
19.Wagogo 40.92%
20.Wasambaa 39.78%
utafiti huu umefanyika kwa miaka 25 kwa kufaatilia ndoa ambazo zinadumu mfano asilimia 88 ya wanawake wa kingoni ambao waliolewa walidumu kwenye ndoa zao tangu utafiti uanze na 12% waliachika
lengo la utafiti ni kubaini mila ambazo zinaathiri ndoa katika jamii ili kutatua tatizo la kuvunjika kwa ndoa ambao haathiri watoto
_AINA KUMI NA SABA(17) ZA SADAKA AMBAZO HAZINA GHARAMA_*
*1.DUA*
*_[emoji117]Ombea watu dua mara kwa mara hata kama zako hazijajibiwa ikiwemo wazazi wako,marafiki nakadhalika_*
*2.ELIMU*
*_[emoji117]Fundisha chochote ulichojaaliwa kukifahamu hata adabu za kwenda chooni nakadhalika_*
*3.USHAURI*
*_[emoji117]Toa ushauri kwa mwenye matatizo au katika mambo yenye manufaa_*
*4.TABASSAMU*
*_[emoji117]Kuwa na uso wa furaha mbele ya jamii kwani mtumeﷺ anasema tabassam mbele ya ndugu yako ni sadaqa_*
*5.MSAADA*
*_[emoji117]Tatua matatizo ya watu kadri ya uwezo wako na hata kuwabebea mizigo yao_*
*6.MUDA*
*_[emoji117]Tumia muda wako kwa wazazi wako ukiwafanyia wema na watoto wako pamoja na jamaa zako na marafiki kwa ujumla_*
*7.MALEZI*
*_Lea vizuri watoto wako malezi mazuri nayo ni swadaqa kubwa kumlea mtoto mpaka akabaleghe na hata pia lea watoto wa jamii kiujumla_*
*8.UVUMILIVU*
*_[emoji117]Kuwa na subra wakati unaposongwa na matatizo na kipindi kigumu cha mitihani ya dunia_*
*9.KUMBUSHA*
*_[emoji117]Wakumbushe walioghafilika mambo ya kheri kama vile kusali,kusoma,kutoa sadaqa na kadhalika_*
*10.KATAZA MABAYA*
*_[emoji117]Unapoona baya kataza kama vile dhulma,ugomvi,wizi,uonevu nakadhalika_*
*11.ZUNGUMZA KWA UPOLE*
*_[emoji117]Shusha sauti yako unapozungumza na yeyote hata mtoto mdogo na wala usikaripie watu kuwa na hekma na upole_*
*12.SAMEHE*
*_[emoji117]Wasamehe waliokukosea hata iwe kosa la aina gani nawe Allah atakusamehe na wala usikubali kunyenyekewa wakati unapoombwa msamaha_*
*13.HESHIMA*
*_[emoji117]Kuwa na heshima kwa kila mtu ndipo utaishi vizuri na jamii mkubwa mheshimu mdogo na mdogo mheshimu mkubwa_*
*14.KUWA NA FURAHA KWA WENGINE*
*_[emoji117]Hata ukiwa na majonzi hata huzuni jaribu kucheka na watu ili uwe mchangamfu_*
*15.MTEMBELEE MGONJWA*
*_[emoji117]Hii ni haki ya muislamu kwa muislam mwenziw unapaswa kumtembelea anayeumwa ili kumfariji_*
*16.SAFISHA NJIA*
*_[emoji117]Ondoa uchafu kwenye njia yeyote inayopitiwa na watu ikiwemo mawe makaratasi vinyesi vya wanyama n.k._*
*17.MLISHE MKEO*
*_[emoji117]Lisha familia yako kwa kadri ya uwezo wako wote_*
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app