kakhulu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 784
- 1,070
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi pesa pesa mkononi Tu hakuna cha ukabilaBinafsi ninakubali utafiti huu. Mana katika kutafuta wife material kutokana na social background priority Yangu ilikuwa ni mkurya,mmasai na Msukuma. Nilidate na Msukuma nikaangukia kwa mkurya. Hayo wengine ni kuwasifia tu na kuwatafuna na kusepa ila ukweli naujua mwenyewe.
Kuna jamii chache zinazojua mana ya ndoa tukubaliane nalo.na pia kipimo kizuri ukitaka kujua kama kabla hilo ni zuri angalia kama wanaume Wa hilo kabila wanaoa wadada wao I.e mfano je muha anapenda kumuoa muha mwenzako ama anakimbilia jamii zingine. Hapo utawajua kama wazuri mana kwanza wao kwa wao wanajuana tabia zao kuliko wewe Wa kuja.
Binafsi huwa nashauri makabila haya yanafaa kutafuta wife material mmasai,mkurya,msukuma , muha ,haya makabila huwezi achwa ama kudharauliwa kisa umefulia. Wanakomaa ama wanavumilia halo zote za majira ya mwaka.
Huyo ndiyo MKE mzuri sana ni wewe Tu kuwa na akili maana Una agano la kudumu naye angano la damuKwa kuwa makabila yapo zaidi ya 120 Tanzania, basi yalojitoteza hapo yote ni bora bila kujali ukubwa wa asilimia ambazo kimsingi haziakisi kabila jingine bali lilelile.
Anyway, tuliopo kwenye ndoa tunajua mengi na kwamba takwimu hizo mbali na elimu ilotolewa na mtoa mada, hazina uhalisia wowote. Mi nilioa mwanamke niliyemtoa bikira nikiamini nimepata chagua sahihi kwa mujibu wa imani ya jamii kuwahusu wenye bikira, bado najuta why I got married to her. Ndoa za sasa ni kizungumkuti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Komejagi
Hongera.... tusioa tutaanza kuuliza makabila sasaMie ninachoshukuru tu ni kuwa, kabila langu kwenye utafiti wa ndoa zinazodumu lipo 10 bora,
Hayo mengine watakuja kuyazungumzia wapendwa!!
Njoo kwangu.Kabila langu halipo kwa hiyo sitodumu? [emoji23][emoji23]
Just your mind perception so tusiokuwa na.pesa huku vijijini hatuoi amaSiku hizi pesa pesa mkononi Tu hakuna cha ukabila
Fita fita mura
Huwezi kuoa bila pesa, Hilo liko wazi , utamlisha nn, utamvika nn, utamlaza wapi.Just your mind perception so tusiokuwa na.pesa huku vijijini hatuoi ama
Namba 14 ... haipoUtafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani)
Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama ifuatavyo
1.Wasukuma - 97.02%
2.Wakurya - 96.99%
3.Wamasai - 94.07%
amii i
4.TABASSAMU: Kuwa na uso wa furaha mbele ya jamii kwani mtumeﷺ anasema tabassam mbele ya ndugu yako ni sadaqa
5.MSAADA: Tatua matatizo ya watu kadri ya uwezo wako na hata kuwabebea mizigo yao
6.MUDA: Tumia muda wako kwa wazazi wako ukiwafanyia wema na watoto wako pamoja na jamaa zako na marafiki kwa ujumla
7.MALEZI: Lea vizuri watoto wako malezi mazuri nayo ni swadaqa kubwa kumlea mtoto mpaka akabaleghe na hata pia lea watoto wa jamii kiujumla
8.UVUMILIVU: Kuwa na subra wakati unaposongwa na matatizo na kipindi kigumu cha mitihani ya dunia
9.KUMBUSHA: Wakumbushe walioghafilika mambo ya kheri kama vile kusali,kusoma,kutoa sadaqa na kadhalika
10.KATAZA MABAYA: Unapoona baya kataza kama vile dhulma,ugomvi,wizi,uonevu nakadhalika
11.ZUNGUMZA KWA UPOLE: Shusha sauti yako unapozungumza na yeyote hata mtoto mdogo na wala usikaripie watu kuwa na hekma na upole
12.SAMEHE: Wasamehe waliokukosea hata iwe kosa la aina gani nawe Allah atakusamehe na wala usikubali kunyenyekewa wakati unapoombwa msamaha
13.HESHIMA: Kuwa na heshima kwa kila mtu ndipo utaishi vizuri na jamii mkubwa mheshimu mdogo na mdogo mheshimu mkubwa
14.KUWA NA FURAHA KWA WENGINE: Hata ukiwa na majonzi hata huzuni jaribu kucheka na watu ili uwe mchangamfu
15.MTEMBELEE MGONJWA; Hii ni haki ya muislamu kwa muislam mwenziw unapaswa kumtembelea anayeumwa ili kumfariji
16.SAFISHA NJIA: Ondoa uchafu kwenye njia yeyote inayopitiwa na watu ikiwemo mawe makaratasi vinyesi vya wanyama n.k.
17.MLISHE MKEO: Lisha familia yako kwa kadri ya uwezo wako wote
Hv wameru hawafanyiwagi utafitiUtafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani)
Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama ifuatavyo
1.Wasukuma - 97.02%
2.Wakurya - 96.99%
3.Wamasai - 94.07%
4.Wamag'ati - 89.25%
5.Waha - 89.23%
6.Wamatengo - 89.01%
7.Wangoni - 88.00%
8.Wachaga - 87.99%
9.Wafipa - 87.82%
10.Wahangaza - 85.05%
11.Wakinga - 85.03%
12.Wabena - 85.01%
13.Wahehe - 83.08%
15.Wapare - 79.00%
16.Wahaya - 56.31%
17.Wanyamwezi - 50%
18.Wajita - 43.07%
19.Wagogo - 40.92%
20.Wasambaa - 39.78%
Utafiti huu umefanyika kwa miaka 25 kwa kufaatilia ndoa ambazo zinadumu mfano asilimia 88 ya wanawake wa kingoni ambao waliolewa walidumu kwenye ndoa zao tangu utafiti uanze na 12% waliachika
Lengo la utafiti ni kubaini mila ambazo zinaathiri ndoa katika jamii ili kutatua tatizo la kuvunjika kwa ndoa ambao haathiri watoto
AINA KUMI NA SABA(17) ZA SADAKA AMBAZO HAZINA GHARAMA
1.DUA: Ombea watu dua mara kwa mara hata kama zako hazijajibiwa ikiwemo wazazi wako,marafiki nakadhalika
2.ELIMU: Fundisha chochote ulichojaaliwa kukifahamu hata adabu za kwenda chooni nakadhalika
3.USHAURI: Toa ushauri kwa mwenye matatizo au katika mambo yenye manufaa
4.TABASSAMU: Kuwa na uso wa furaha mbele ya jamii kwani mtumeﷺ anasema tabassam mbele ya ndugu yako ni sadaqa
5.MSAADA: Tatua matatizo ya watu kadri ya uwezo wako na hata kuwabebea mizigo yao
6.MUDA: Tumia muda wako kwa wazazi wako ukiwafanyia wema na watoto wako pamoja na jamaa zako na marafiki kwa ujumla
7.MALEZI: Lea vizuri watoto wako malezi mazuri nayo ni swadaqa kubwa kumlea mtoto mpaka akabaleghe na hata pia lea watoto wa jamii kiujumla
8.UVUMILIVU: Kuwa na subra wakati unaposongwa na matatizo na kipindi kigumu cha mitihani ya dunia
9.KUMBUSHA: Wakumbushe walioghafilika mambo ya kheri kama vile kusali,kusoma,kutoa sadaqa na kadhalika
10.KATAZA MABAYA: Unapoona baya kataza kama vile dhulma,ugomvi,wizi,uonevu nakadhalika
11.ZUNGUMZA KWA UPOLE: Shusha sauti yako unapozungumza na yeyote hata mtoto mdogo na wala usikaripie watu kuwa na hekma na upole
12.SAMEHE: Wasamehe waliokukosea hata iwe kosa la aina gani nawe Allah atakusamehe na wala usikubali kunyenyekewa wakati unapoombwa msamaha
13.HESHIMA: Kuwa na heshima kwa kila mtu ndipo utaishi vizuri na jamii mkubwa mheshimu mdogo na mdogo mheshimu mkubwa
14.KUWA NA FURAHA KWA WENGINE: Hata ukiwa na majonzi hata huzuni jaribu kucheka na watu ili uwe mchangamfu
15.MTEMBELEE MGONJWA; Hii ni haki ya muislamu kwa muislam mwenziw unapaswa kumtembelea anayeumwa ili kumfariji
16.SAFISHA NJIA: Ondoa uchafu kwenye njia yeyote inayopitiwa na watu ikiwemo mawe makaratasi vinyesi vya wanyama n.k.
17.MLISHE MKEO: Lisha familia yako kwa kadri ya uwezo wako wote
Vipi kuhusu WARANGI?
Mbn kabila la Warangi halipo kwenye huo utafiti ?Namba 14 ... haipo
Labda Watakuwa WANYAKYUSA tu. Haiwezekan kabila zito lenye hadhi yake lisiwepo kwenye list nzito kama hii.
"Mtunzi wa utafiti" vp?. Unabifu na wanyakyusa hatukuelewi.
Kaka, kabila la WARANGI hujalipa heshima yake katika utafiti wako. Maana nimetafuta kuanzia mwanzo mpaka mwisho sijaliona kabisa.Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani)
Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama ifuatavyo
1.Wasukuma - 97.02%
2.Wakurya - 96.99%
3.Wamasai - 94.07%
4.Wamag'ati - 89.25%
5.Waha - 89.23%
6.Wamatengo - 89.01%
7.Wangoni - 88.00%
8.Wachaga - 87.99%
9.Wafipa - 87.82%
10.Wahangaza - 85.05%
11.Wakinga - 85.03%
12.Wabena - 85.01%
13.Wahehe - 83.08%
15.Wapare - 79.00%
16.Wahaya - 56.31%
17.Wanyamwezi - 50%
18.Wajita - 43.07%
19.Wagogo - 40.92%
20.Wasambaa - 39.78%
Utafiti huu umefanyika kwa miaka 25 kwa kufaatilia ndoa ambazo zinadumu mfano asilimia 88 ya wanawake wa kingoni ambao waliolewa walidumu kwenye ndoa zao tangu utafiti uanze na 12% waliachika
Lengo la utafiti ni kubaini mila ambazo zinaathiri ndoa katika jamii ili kutatua tatizo la kuvunjika kwa ndoa ambao haathiri watoto
AINA KUMI NA SABA(17) ZA SADAKA AMBAZO HAZINA GHARAMA
1.DUA: Ombea watu dua mara kwa mara hata kama zako hazijajibiwa ikiwemo wazazi wako,marafiki nakadhalika
2.ELIMU: Fundisha chochote ulichojaaliwa kukifahamu hata adabu za kwenda chooni nakadhalika
3.USHAURI: Toa ushauri kwa mwenye matatizo au katika mambo yenye manufaa
4.TABASSAMU: Kuwa na uso wa furaha mbele ya jamii kwani mtumeﷺ anasema tabassam mbele ya ndugu yako ni sadaqa
5.MSAADA: Tatua matatizo ya watu kadri ya uwezo wako na hata kuwabebea mizigo yao
6.MUDA: Tumia muda wako kwa wazazi wako ukiwafanyia wema na watoto wako pamoja na jamaa zako na marafiki kwa ujumla
7.MALEZI: Lea vizuri watoto wako malezi mazuri nayo ni swadaqa kubwa kumlea mtoto mpaka akabaleghe na hata pia lea watoto wa jamii kiujumla
8.UVUMILIVU: Kuwa na subra wakati unaposongwa na matatizo na kipindi kigumu cha mitihani ya dunia
9.KUMBUSHA: Wakumbushe walioghafilika mambo ya kheri kama vile kusali,kusoma,kutoa sadaqa na kadhalika
10.KATAZA MABAYA: Unapoona baya kataza kama vile dhulma,ugomvi,wizi,uonevu nakadhalika
11.ZUNGUMZA KWA UPOLE: Shusha sauti yako unapozungumza na yeyote hata mtoto mdogo na wala usikaripie watu kuwa na hekma na upole
12.SAMEHE: Wasamehe waliokukosea hata iwe kosa la aina gani nawe Allah atakusamehe na wala usikubali kunyenyekewa wakati unapoombwa msamaha
13.HESHIMA: Kuwa na heshima kwa kila mtu ndipo utaishi vizuri na jamii mkubwa mheshimu mdogo na mdogo mheshimu mkubwa
14.KUWA NA FURAHA KWA WENGINE: Hata ukiwa na majonzi hata huzuni jaribu kucheka na watu ili uwe mchangamfu
15.MTEMBELEE MGONJWA; Hii ni haki ya muislamu kwa muislam mwenziw unapaswa kumtembelea anayeumwa ili kumfariji
16.SAFISHA NJIA: Ondoa uchafu kwenye njia yeyote inayopitiwa na watu ikiwemo mawe makaratasi vinyesi vya wanyama n.k.
17.MLISHE MKEO: Lisha familia yako kwa kadri ya uwezo wako wote
Vipi kuhusu Warangi?15,19.20. Kama wanaoana wenyewe kwa wenyewe sawa lakini chochonde kama wewe ni mwanaume usijaribu kujipendekeza utapanda juu ya mti huko mbeleni nakuambia naomba niishie hapo