Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

Ndoa inategemea maelewano baina ya mume na mke.Hakuna Cha ukabila hapo
 
4.Wamag'ati - 89.25%
5.Waha - 89.23%
6.Wamatengo - 89.01%
7.Wangoni - 88.00%
8.Wachaga - 87.99%
Wakiolewa na watu wa makabila yao ila nje ya hapo ni headache

4. Vigumu sana kuwabadili wafanane na culture zingine
5. Ubishi mwingi na hasa ukimtoa kijijini kuja mjini
6 na 7. Kucheza kioda ni priority kwao
8. Inategemea ni kutoka upande gani wa hiyo kanda
 
Utafiti huu umefanyika kwa miaka 25 kwa kufaatilia ndoa ambazo zinadumu mfano asilimia 88 ya wanawake wa kingoni ambao waliolewa walidumu kwenye ndoa zao tangu utafiti uanze na 12% waliachika
Hakuna wanandoa waliokufa hapo katikati ya hicho kipindi, je hawajaathiri hiyo percentile?
 
Lengo la utafiti ni kubaini mila ambazo zinaathiri ndoa katika jamii ili kutatua tatizo la kuvunjika kwa ndoa ambao haathiri watoto
Je Dar yenye mchanganyiko wa makabila yenye ndoa 300 zinazovunjika kila mwezi imehusishwaje kwenye utafiti huu?
 
Ndoa na kabila wapi na wapi? Wanawake wote wanataka pesa, maisha mazuri sasa wewe jifanye unaleta makabila rudisha kwa wahenga enzi za ujamaa
Atalizwa kama atakomalia huu utafiti wasambaa wapo vizuri mbona
 
Back
Top Bottom