Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kwa nini Marekani isiwekewe vikwazo kufuatia hatua yake ya kutukatia misaada? Hivi mamlaka zinasubiri nini hadi sasa?Nashangaaa Hadi sasa Serikali sikivu iko kimya Tu Wala hakuna mkakati wowote wa ku-rescue situation! MDH wamefunga Ofisi nadhani
Hawa hapa, kirefu chake nadhani ni Management for Development and Health (MDH)MDH ndio akina nani mkuu...??
Maana umeandika kana kwamba kila mtu anawajua hao MDH...🙄
Tukimaliza kusuluhisha CONGO ndio MAREKANI tutafanyia KAZIKwa nini Marekani isiwekewe vikwazo kufuatia hatua yake ya kutukatia misaada? Hivi mamlaka zinasubiri nini hadi sasa?
Ohhhh.....Ni NGO ambayo nadhani kwa Tanzania ndio ilikua inaongoza kupokea mpunga wa USAID, ndio Ile program ya Watu wa Afya Wengi walioajiriwa Kwa kupitia Huko.
Ndio waliokua MAIN RECIPIENT wa Mzigo wa GLOBAL FUND baada ya AMREF kutemeshwa Bungo, kama kumbukumbu Zangu ziko njema
Kwa kweli Sijui vizuri ila mzigo wa Global Fund ulianzia Save the Children, Mradi ukiitwa Global Fund HIV/AIDS and TB "nasikia" wakubwa Serikalini wakaweka ngumu, kwahio award iliyofuata wakapewa AMREF, ukumbuke hizo zote ni billions of Tzs, sasa "nasikia" figisu zikaanza kuwa MD wa AMREF sio Mtanzania na blah blah kibao, Ndio phase iliyofuata wakapigwa chini, mzigo ukaenda huko MDH na Benjamin Mkapa Foundation nadhani.AMREF walizingua kitu gani?
Nadhani Trump anafanya auditing ya mali za umma. Tutegemee mabadiliko makubwa sana. Nilichogundua, jamaa anapendwa sana na wala hataki kuwa-disappoint mashabiki zake.Ohhhh.....
Asante kwa taarifa mujarab kabisa mkuu.
Kwahiyo hawa MDH, wamefunga office zao kwamaana ya kuahirisha miradi ama..... wamefunga office zao kwa muda ili wakisubiri pengine tamko lingine tofauti??
Na marejesho yetu kwao ni kama kiasi gani hivi? Maana Mzungu chake hakiendi bure.Kaka huo mpunga wa Global Fund sio wa kitoto, ni pesa ya kufa MTU.
Honestly sidhani kama ni kweli wamefunga ila wameathirika pakubwa Sana Sana, najua Wana other sources of funds kwa miradi mingine. Ila kwa NGO ukiwa na Mradi Mkubwa basi gharama za uendeshaji Ofisi zinakua low maana ule Mradi Mkubwa unakua unachangia pakubwaOhhhh.....
Asante kwa taarifa mujarab kabisa mkuu.
Kwahiyo hawa MDH, wamefunga office zao kwamaana ya kuahirisha miradi ama..... wamefunga office zao kwa muda ili wakisubiri pengine tamko lingine tofauti??
Hili shirika lina wakurugenzi hovyo sana. Inasikitisha tuna watu katika taifa wanapewa nafasi kubwa wakiwa hawana ufanisi. Ni heri kulikodisha kwa mabeberu waliendeshe kwa muda fulani kama ambavyo imefanyika kwenye baadhi ya benki.Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa
Haurejeshwi. Global fund NI kila MTU anayetaka kuchangia anachangia humo, nakumbuka kipindi Fulani hata dangote alikua anachangia ila US yeye ndio alikua na mpunga mrefu na alilenga Sana mambo yetu yale.....Na marejesho yetu kwao ni kama kiasi gani hivi? Maana Mzungu chake hakiendi bure.
Tunaomba Serikali Sikivu ya Chama cha mapinduzi itafute suluhishoNi Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa
Na marejesho yetu kwao ni kama kiasi gani hivi? Maana Mzungu chake hakiendi bure.
Watu watakua wamenunua apartments DubaiKwa kweli Sijui vizuri ila mzigo wa Global Fund ulianzia Save the Children, Mradi ukiitwa Global Fund HIV/AIDS and TB "nasikia" wakubwa Serikalini wakaweka ngumu, kwahio award iliyofuata wakapewa AMREF, ukumbuke hizo zote ni billions of Tzs, sasa "nasikia" figisu zikaanza kuwa MD wa AMREF sio Mtanzania na blah blah kibao, Ndio phase iliyofuata wakapigwa chini, mzigo ukaenda huko MDH na Benjamin Mkapa Foundation nadhani.
Kaka huo mpunga wa Global Fund sio wa kitoto, ni pesa ya kufa MTU.
Maporomoko ya udongo kutokea upande wa hospitalBarabara ni lami nashangaa hapo mikindani ni kitu gani kimetokea na mitope hiyo imetoka wapi
Kwamba wakuuzie Land Cruiser DFP macho ya panzi eeehhh😜Watuuzie tu yake magari.
Ndiyo Hawa walikuwa Bagamoyo roadHawa hapa, kirefu chake nadhani ni Management for Development and Health (MDH)View attachment 3229491