Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Wana Nunua V8 za mabilioni kila mwaka, wanashindwa kuweka mkeka wa lami kuunganisha kusini, ni ufisadi tuu na viongozi wasio na akiliNjia ya huko bora upande ndege ,mvua za juzi tu hapa kumekuwa na tope mpaka magari hayapiti.
Kama unajiweza usipande gari kwa njia za kusini.
Mishahara yao ilikuwaje kwa mfano?Hawa MDH walikuwa wanakulaa parefuu sanaa aisee
We bwege mnyarwanda AirTanzania inakuhusu nini. Tanzania siyo DRC.Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa
U mean maandishi yana rangi ya precision AirπTangazo ni la ATCL ila rangi ya Tangazo ni ya Precionair au naona vibaya
Rangi ya tangazo ndiyo nini, kuna mtu ana hati miliki na rangi fulani?Tangazo ni la ATCL ila rangi ya Tangazo ni ya Precionair au naona vibaya
Hahahaaa na wewe ukawaamini kabisa?Kwahyo itakuwa ni uongo wanataka kupunguza hofu
Maana wamesema kuna watu wameanza kuomba dawa nyingi wakatunze kama akiba,wakawatahadhalisha kwamba wakichukua nyingi wanaweza wasizitunze vizuri na zikaishia kuharibika tu
Huko sahihi ata hapa nyumbani Iringa, ATCL inarudisha huduma uwanja wa Nduli. Lakini nakumbuka kabla ya matengenezo nilikuwa mmoja wa wasafiri. Npesa ya project ndiyo ilikuwa inanisafirisha siwezi kutoa pesa yangu mkonon kulipa 335,000/=. Pia nakumbuka wasafiri wengi walikuwa ni wafanyakazi wa NGOs na wachina wachache kutoka Mafinga. Kimeumana salary power ya serikali haiwezekani mtumishi wa uma kusafiriNashangaaa Hadi sasa Serikali sikivu iko kimya Tu Wala hakuna mkakati wowote wa ku-rescue situation! MDH wamefunga Ofisi nadhani
Jinga hilo, Precision wana rangi wanamiliki?U mean maa dishi yana rangi ya precision sir?
Hiyo bei bila kodi?Mtwara, here we come!
Starting February 17, 2025, fly with Air Tanzania to Mtwara every Monday, Wednesday, and Friday at unbeatable fares!
One-way: TZS 122,200
Round-trip: TZS 199,000
Book your seat now
π +255 748 773 900 | π www.airtanzania.co.tz
#AirTanzania #Mtwara #TheWingsOfKilimanjaro
Kwisha habari yetuHuko sahihi ata hapa nyumbani Iringa, ATCL inarudisha huduma uwanja wa Nduli. Lakini nakumbuka kabla ya matengenezo nilikuwa mmoja wa wasafiri. Npesa ya project ndiyo ilikuwa inanisafirisha siwezi kutoa pesa yangu mkonon kulipa 335,000/=. Pia nakumbuka wasafiri wengi walikuwa ni wafanyakazi wa NGOs na wachina wachache kutoka Mafinga. Kimeumana salary power ya serikali haiwezekani mtumishi wa uma kusafiri
Hata Sijui Ndugu yanguHiyo bei bila kodi?
Wanalazimisha kijani na njano ili ccm wafurahiTangazo ni la ATCL ila rangi ya Tangazo ni ya Precionair au naona vibaya
u mean rangi ya maandishi au Logo/emblem ya Precision AIR? πRangi ya tangazo ndiyo nini, kuna mtu ana hati miliki na rangi fulani?
Mbona air transport TZ bado ni cheap, issue ni poverty ndyo inafanya tufikiri kuwa ni usafiri wa ANASAπHii ndio shida yetu, tunapaswa kubadili hizi fikra.
Usafiri wa ndege ni usafiri tu wa kawaida haipaswi kuwa anasa, bali inapaswa kuwa usafiri tu wa kawaida ambao kila mtu anapaswa kuwa na uwezo wa kuutumia.
Mbona air transport TZ bado ni cheap, issue ni poverty ndyo inafanya tufikiri kuwa ni usafiri wa ANASAπ
huwezi fanya biashara ya airline kwa set fare kulingana na hali ya uchumi wa majority (eti standard of living), disregarding operational cost, kama huwezi afford flight cost, use other means of transportCheap kulinganisha na maisha ya watanzania au cheap kulinganisha na nini?
kama standard of living haiendana na hizo nauli Kwa nini wasiadjust au kufanya hesabu zao ziendane na standard za maisha ya watanzania?
πππππ NGO zimefungwa wazee wa Activity feki hawana jeuri tena ya kukalia mbawa za ATCπ
Hesabu za ndege haziendani na standard of living ila kwa costing ziko sahihi. Cha kuboresha ni hali za watu za uchumi ili waweze ku afford ndege sio kushusha bei za ndege.Cheap kulinganisha na maisha ya watanzania au cheap kulinganisha na nini?
kama standard of living haiendana na hizo nauli Kwa nini wasiadjust au kufanya hesabu zao ziendane na standard za maisha ya watanzania?