Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

Hao jamaa wanaofanya huko wana maisha mazuri sana. Hela tamu sana ya hizo NGO.
 
Inawezekana hizo taasisi zilkuwa chanzo cha utakatishaji fedha za wahuni wa USA, watu wetu kulipwa mishahara mikubwa ilikuwa sehemu ya utakatishaji na vitengo vya ujasusi vya CIA kwenye operation zake za Africa ili kupata watu wakuwainstalll kwenye mifumo.
 
Hesabu za ndege haziendani na standard of living ila kwa costing ziko sahihi. Cha kuboresha ni hali za watu za uchumi ili waweze ku afford ndege sio kushusha bei za ndege.

Yah nakubaliana na wewe maana lengo kuu ni kurahisisha usafiri na kuspeed up uzarishaji kwa watanzania.
 
MD wa NGO mojawapo alikua (2017) analipwa 23,000,000 kwa mwezi, leave alone nyumba anayolipiwa, airtime, simu, na kusomeshewa watoto.
Huo mshahara means wewe hauugusi maana vingine vyote unalipiwa na ofisi, mafuta, ada, bundle za simu na hospitali. Yani maisha ya peponi kabisa 😁.

Hapo bado hajachezesha deals zake na vijana wake.
 
Kwanini hampeleki ndege Mafia?? Mnatunyima Meli hata ndege pia hamtaki pamoja na nauli kuwa kubwa kuliko Mtwara.
 
Huo mshahara means wewe hauugusi maana vingine vyote unalipiwa na ofisi, mafuta, ada, bundle za simu na hospitali. Yani maisha ya peponi kabisa 😁.

Hapo bado hajachezesha deals zake na vijana wake.
Huyo ni cha mtoto, huyo ni MD wa Kibongo, ukiskia kwenye NGO hizi kubwa kubwa amekuja mtu anaitwa Expatriate au Country Manager, ukabahatika kukutana na mzigo anaopokea, unaweza kuzimia. Mfano, kuna NGO niliwahi kufanya nao kazi miaka ya 2013 hapo, yule Country Director alikua analipiwa nyumba kule Oysterbay kwa $3000 na service charge $500 kwa mwezi. Na tulikua tunalipa kwa mwaka na ilikua siku ukitaka kurudisha nyumba ya watu, unatakiwa kuifanyia marekebisho ambayo hayo marekebisho, mwenye nhyumba ndio atatuma mafundi wake na watakuletea tu invoice wewe.
watoto wake walikua wanasomeshwa pale Tanganyika International school,, gari ya kazini ndio ilikua inaenda kuwapeleka na kuwachukua mchana na kuwarudisha home, ole wake dereva achelewe. watoto ada jumla nadhani ilikua kama million 40 hivi kama sijasahau.

Miaka ile hakukua na whatsapp call, kuna kitu kilikua kinaitwa roaming, kwahio akisafiri kwenda popote pale anaweka roaming, kuna mwezi mmoja nakumbuka tuliletewa bill ya millioni nne ( 2013) na watu wa airtel.

kwa kifupi sana, hizi NGO ukichukua bajeti ya kuwahudumia hao expatriates ni sawa na MRADI unaojitegemea, yaani kuna mmoja tulimnunulia furnitures za kufuru, hadi garden chairs..... yule wa mwisho kufanya nae kazi ilikua 2018, jamaa alikua anaishi kwenye apartment kule karibu na fish market mbele huko unaangalia bahari kwa chini, tulikua (NGO) tunalipa dollar 5000 kwa mwezi, umeme bill ilikiua inakuja hadi millioni kwa mwezi......

Trump yuko sahihi aiseeee
 
😁😁😁😁😁 NGO zimefungwa wazee wa Activity feki hawana jeuri tena ya kukalia mbawa za ATCπŸ˜‚
Nikiri kuwa mm ni mmoja wa wanufaika wa hizo activities za hao watu wa NGO, ingawa sifanyi kazi huko. Ila naona hali inaenda kuwa ngumu aisee, maana kuna workshops kadhaa zimeshakuwa cancelled hapa ni utata
 
Usiongopee watu tunapenda intellectual aside na shake au chamber ya uongo iweje world vision na save the children ziwe za marekani huna unachokijua
 
Mtapanda na majini yenu kwenye ndege za watu hahahahahaa (kidding)
Huijui Mafia wewe unafikiri ipo kama huko kwenu mikoani mnaua mazeruzeru. Kaangalie number ya watalii yatatu kwa mikoa ya Bongo.
 
Yaani wewe ukishindwa kupanda ndege unafikiri watz wote hawawezi panda ndege? Sisi Kanda ya Ziwa tunapanda ndege miaka yote kwa pesa zetu wala siyo hizo NGO zenu uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…