Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Tulisikia mkulima kalipwa pesa yake ndiyo maana ndege yetu ya airbus ya mwisho kukamatwa Canada iliachiwa, ile iliyo pokelewa Mwanza.
Sasa unasema mkulima hajalipwa tunabaki tunashangaa taarifa ipi ya kweli?
Unasema kwa mujibu wa IATA ndege ya raisi haiwezi kukamatwa lakini ndege ya ATCL inaweza kukamatwa, je kuhusu ndege ya serikali ambayo siyo ya raisi, siyo ya kijeshi, wala siyo ya ATCL haiwezi kukamatwa?
Je kwa nini hiyo ndege ya TGF haikukamatwa?
Nijibu State flight zipo chini ya sheria zipi na civilian Airlines zipo chini ya sheria gani?
Hivi hizo sheria za usafiri wa anga ni za IATA kama ulivyo sema au ni za ICAO which is a specialized agency ya UN ziitwazo Aviation Laws amabazo huchuliwa kama international laws?
Kama hiyo sheria unayosema ipo ktk hizi aviation laws zilizo tokana na international covention chini ya ICAO basi tunaomba tuambie zipo kwenye Annexes gani tukapitie wenyewe ma-bush lawyers.
WASOMI KAMA NINYI YAPASA MUWEKE KISOMI (KISHERIA) FAFANUZI ZENU.