Tetesi: Air Tanzania kukamatwa. Ndege ya Rais haikamatwi kwa sheria za IATA

Tulisikia mkulima kalipwa pesa yake ndiyo maana ndege yetu ya airbus ya mwisho kukamatwa Canada iliachiwa, ile iliyo pokelewa Mwanza.
Sasa unasema mkulima hajalipwa tunabaki tunashangaa taarifa ipi ya kweli?

Unasema kwa mujibu wa IATA ndege ya raisi haiwezi kukamatwa lakini ndege ya ATCL inaweza kukamatwa, je kuhusu ndege ya serikali ambayo siyo ya raisi, siyo ya kijeshi, wala siyo ya ATCL haiwezi kukamatwa?

Je kwa nini hiyo ndege ya TGF haikukamatwa?

Nijibu State flight zipo chini ya sheria zipi na civilian Airlines zipo chini ya sheria gani?
Hivi hizo sheria za usafiri wa anga ni za IATA kama ulivyo sema au ni za ICAO which is a specialized agency ya UN ziitwazo Aviation Laws amabazo huchuliwa kama international laws?
Kama hiyo sheria unayosema ipo ktk hizi aviation laws zilizo tokana na international covention chini ya ICAO basi tunaomba tuambie zipo kwenye Annexes gani tukapitie wenyewe ma-bush lawyers.

WASOMI KAMA NINYI YAPASA MUWEKE KISOMI (KISHERIA) FAFANUZI ZENU.
 
Umeambiwa huna akili, ulichotakiwa ni kumtizamisha hoja yako tena sio kumkosoa kaanza na herufi ndogo!
Sina akili kipi kimenifanya nisiwe na akili? Kuuliza swali ambalo mleta mada amenijibu ndo nakuwa sina akili?!!
 
Jiwe anateseka
 
Mkamataji wa ndege zetu naye ni mjinga kama ujinga wa mleta nyuzi, kabla ya Corona ndege zilikuwa na Safari nyingi ktk mataifa mbalimbali, alishindwa vipi kukamatwa?

Kwa hiyo yeye alisubiri Wakati wa Corona ndio aanze kuziwinda siyo??

Pumbavu kabisa
 
India ndiyo nchi nyingi, na China?
Imepigwa loku na mmiliki kajitenga zake CHATU VILEJI
 
Haya sawa na Anga la Madascar je ??? Au Madagascar nayo ni ulaya ???



Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Jana ndege ya RWANDA, RWANDAIR imetua mwanza na imesaini kandarasi na kiwanda cha mwanza kubeba minofu na kuacha mapanki yaliwe na wanyonge, jiulize kwanini JIWE hana guts za kusema lazma samaki wabebwe na AIR TANZANIA kwa jinsi mnavyomjua alivyo ? ni kwasababu huko nje Ndege ikienda hairudi, na hii korona nakwambia mkulima atafugia hata MABATA huko ndani."

kwa maandishi haya unaonekana ulikuwa mpiga dili na sasa njaa imekimbilia kichwani! Pumbafu sana mleta mada na bdo mpaka 2025! lazima uhamie kwa shemeji yako.
 
Watu wanashindwa kujiongeza kwa vitu vidogo tu. Hii ni kuendekeza siasa za uvyama kwenye kila kitu. Sometimes hadi unashangaa kwamba ni wanafanya kusudi tu kujifuirahisha au ndio uelewa wao umekwamia hapo!?
Tumeuliza swali Madagascar je nako hairuhusiwi kutua kwa sababu ni Anga la ulaya???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena, Jamaa ni mjinga mno mkuu, alishindwa nini kukamata kabla ya Corona?

Mambo mengine ni Ujinga tu
angeikamatia wapi?
alikamata ikiwa canad, akakamaa ikiwa South Afrika, sasa wewe unataka aikamatie CHATO au BURIGI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…