Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Juzi ilikiwa hivyo na leo tena imetokea. ATCL inabidi wabadilike bhana
ikiwa kuna sababu maalumu na muhimu kwa usalama wa abiria,
ikiwa kuna sababu maalumu na muhimu kwa usalama wa abiria,
nadhani ni jambo zuri na la msingi zaidi kuchelewesha safari au kuifuta kabisa kwa maslahi mapana ya abiria na shirika kwa ujumla.
huna haja ya kuikosesha maana hoja yako kwa nonsense gentleman.
Hakuna biashara ya serekali yenye ufanisi fullstop.ikiwa kuna sababu maalumu na muhimu kwa usalama wa abiria,
nadhani ni jambo zuri na la msingi zaidi kuchelewesha safari au kuifuta kabisa kwa maslahi mapana ya abiria na shirika kwa ujumla.
wajibu mkuu wa serikali ni kutoa huduma na kuwatumikia wananchi gentleman,Hakuna biashara ya serekali yenye ufanisi fullstop.
Huduma hailipiwi. Ikishalipiwa biashara. Ni hivi, hakina mradi wa serekali wenye ufanisi.wajibu mkuu wa serikali ni kutoa huduma na kuwatumikia wananchi gentleman,
biashara ni fursa kwaajili ya wawekezaji kama wewe gentleman
hakuna huduma inayotolewa na serikali sikivu ya ccm, inayolipiwa na mwananchi ispokua inachangiwa sehemu ndogo tu.Huduma hailipiwi. Ikishalipiwa biashara. Ni hivi, hakina mradi wa serekali wenye ufanisi.
Peleka use@nge mbali, katazame bei za Air Tanzania v/s private planes uje ulete ukhanithi wako hapa.hakuna huduma inayotolewa na serikali sikivu ya ccm, inayolipiwa na mwananchi ispokua inachangiwa sehemu ndogo tu.
acha upotoshaji gentleman.
huduma za umma zitolewazo na serikali huchangiwa sehemu ndogo tu na wananchi huku sehemu kubwa zaidi ikichangiwa na kugharamiwa na serikali sikivu ya CCM.Peleka use@nge mbali, katazame bei za Air Tanzania v/s private planes uje ulete ukhanithi wako hapa.
Yule ni muandishi na alitukana kama sikoseiUkitoa malalamiko kama mteja unapewa onyo Kali 😂😂😂😂😂😂
Msemaji wa serikali anakuambia apigiwe yeye kwanza kabla ya kuandika mtandaoni.... bongo michosho!
Ona huyu Bogus nae!ikiwa kuna sababu maalumu na muhimu kwa usalama wa abiria,