AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Sasa hao wengine wataruk au wanaruka kupitia anga ipi ambayo hali ya hewa imetulia na atcl wasijue?
ni vizuri kujikita kwa walio elezwa kwenye hoja ya msingi gentleman,Hii sababu maalum ni Kwa ATCL Tu? Mbona ndege zingine sio Jambo la mara Kwa mara?
ATCL Leo ni mara ya pili ndani ya wiki moja,
Kuna shida sehemu, sio kila Jambo la kutetea Gentlemen
tuliza mihemko muerevu uselessOna huyu Bogus nae!
😂😂😂😂😂,dah kummke,kwa iyo jamaa kashapokeaa elfu saba yake??!!