Air Tanzania yachelewesha safari yake nyingine leo Alhamisi

Hakuna biashara ya serekali yenye ufanisi fullstop.
wajibu mkuu wa serikali ni kutoa huduma na kuwatumikia wananchi gentleman,

biashara ni fursa kwaajili ya wawekezaji kama wewe gentleman
 
Huduma hailipiwi. Ikishalipiwa biashara. Ni hivi, hakina mradi wa serekali wenye ufanisi.
hakuna huduma inayotolewa na serikali sikivu ya ccm, inayolipiwa na mwananchi ispokua inachangiwa sehemu ndogo tu.

acha upotoshaji gentleman.
 
Ukitoa malalamiko kama mteja unapewa onyo Kali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hakuna huduma inayotolewa na serikali sikivu ya ccm, inayolipiwa na mwananchi ispokua inachangiwa sehemu ndogo tu.

acha upotoshaji gentleman.
Peleka use@nge mbali, katazame bei za Air Tanzania v/s private planes uje ulete ukhanithi wako hapa.
 
Peleka use@nge mbali, katazame bei za Air Tanzania v/s private planes uje ulete ukhanithi wako hapa.
huduma za umma zitolewazo na serikali huchangiwa sehemu ndogo tu na wananchi huku sehemu kubwa zaidi ikichangiwa na kugharamiwa na serikali sikivu ya CCM.

punguza mihemko unapoelezwa ukweli na kuelekezwa mambo ya msingi kwa faida yako mwenyewe.
ubishi, mihemko na kiburi havitakusaidia chochote gentleman
 
ikiwa kuna sababu maalumu na muhimu kwa usalama wa abiria,
nadhani ni jambo zuri na la msingi zaidi kuchelewesha safari au kuifuta kabisa kwa maslahi mapana ya abiria na shirika kwa ujumla.
Ona huyu Bogus nae!
 
Mambo ya Hali ya hewa , hizi mvua Zinakuja na upepo mkali sana, fuatilieni hali ya hewa kwenye vyanzo mbalimabli.
 
ikiwa kuna sababu maalumu na muhimu kwa usalama wa abiria,
nadhani ni jambo zuri na la msingi zaidi kuchelewesha safari au kuifuta kabisa kwa maslahi mapana ya abiria na shirika kwa ujumla.

Hii sababu maalum ni Kwa ATCL Tu? Mbona ndege zingine sio Jambo la mara Kwa mara?

ATCL Leo ni mara ya pili ndani ya wiki moja,

Kuna shida sehemu, sio kila Jambo la kutetea Gentlemen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…