AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,122 Reaction score 5,319 Feb 26, 2026 #21 Sasa hao wengine wataruk au wanaruka kupitia anga ipi ambayo hali ya hewa imetulia na atcl wasijue?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 Feb 26, 2026 #22 hp4510 said: Hii sababu maalum ni Kwa ATCL Tu? Mbona ndege zingine sio Jambo la mara Kwa mara? ATCL Leo ni mara ya pili ndani ya wiki moja, Kuna shida sehemu, sio kila Jambo la kutetea Gentlemen Click to expand... ni vizuri kujikita kwa walio elezwa kwenye hoja ya msingi gentleman, mambo ya sijui tukose wote au tufanane na yule kwenye kutoa huduma muhimu kama usafiri wa anga ni ya kizamani sana. ni muhimu kutoa huduma kwa kuzingatia usalama wa abiria bila kujali manung'uniko ya wanaolazimisha kisichowezekana kwa wakati husika.
hp4510 said: Hii sababu maalum ni Kwa ATCL Tu? Mbona ndege zingine sio Jambo la mara Kwa mara? ATCL Leo ni mara ya pili ndani ya wiki moja, Kuna shida sehemu, sio kila Jambo la kutetea Gentlemen Click to expand... ni vizuri kujikita kwa walio elezwa kwenye hoja ya msingi gentleman, mambo ya sijui tukose wote au tufanane na yule kwenye kutoa huduma muhimu kama usafiri wa anga ni ya kizamani sana. ni muhimu kutoa huduma kwa kuzingatia usalama wa abiria bila kujali manung'uniko ya wanaolazimisha kisichowezekana kwa wakati husika.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 Feb 26, 2026 #23 Mzee makoti said: Ona huyu Bogus nae! Click to expand... tuliza mihemko muerevu useless
Voltaire JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 1,964 Reaction score 2,192 Feb 26, 2026 #24 Meja Jenerali Isamuhyo said: View attachment 3548981 Click to expand... π€£π€£π€£
N Nilipe nisepe JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,467 Reaction score 3,496 Feb 26, 2026 #25 Meja Jenerali Isamuhyo said: View attachment 3548981 Click to expand... πππππ,dah kummke,kwa iyo jamaa kashapokeaa elfu saba yake??!!
Meja Jenerali Isamuhyo said: View attachment 3548981 Click to expand... πππππ,dah kummke,kwa iyo jamaa kashapokeaa elfu saba yake??!!