Air Tanzania yaipiku Turkish Airlines

Air Tanzania yaipiku Turkish Airlines

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi nzuri ya kuboresha huduma zenu.
** Mchakato ulikua wa huru na haki kila hatua vilihusisha wadau dunia nzima.
 
Attachments

  • IMG-20201214-WA0003.jpg
    IMG-20201214-WA0003.jpg
    69.7 KB · Views: 22
  • Tcca NEWS.jpg
    Tcca NEWS.jpg
    167.8 KB · Views: 21
Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airlines) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE) na kuwapiga chini mabeberu Turkish AIRLINES. #Uzalendo_Kwanza#
Mnaendaga nchi gani nyie washamba
 
Uongo mwengine hauna maana ni kujitia ujinga tu.Kusifia na kupenda chako ni sawa,lakini kujipa sifa usizonazo ni upuuzi si uzalendo wala ujanja.Air ACTL bado sana kulinganishwa na Turkish Airlines,yaani sio size yake ni sawa kulinganisha mbio za kuku na farasi!.
Turkisha Airines inaenda sehemu 245 duniani,ndani ya nchi 123.Tena hapo hujaongeza domestic flights,wala hukujumlisha Turkish Airlines Cargo.
 
Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi nzuri ya kuboresha huduma zenu.
Kuna wakati wazungu wanakuwa sawa wakitufananisha na manyani na kuturushia ndizi, kwa akili hizi hata manyani ni bora zaidi yetu.
 
Back
Top Bottom