Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We acha tu nduguDaaah kwamba best international airline! kwa kwenda Mumbai, Entebbe na Harare? Basi sawa.
Itakuwa ndege inayopenda Mumbai India.Mnaendaga nchi gani nyie washamba
Hiyo safari ilisimama tangu corona mkuu.Itakuwa ndege inayopenda Mumbai India.
Hiyo ndege inaenda mara mbili kwa juma(week) ikiwa na abiria wengi sana.
Hapo kwenye international kuna ukakasiKatika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi nzuri ya kuboresha huduma zenu.
Turkish inatua nchi kibao tena mabara yote Atc hata nairobi sijui kama saiv inaenda tena.Ukakasi unauleta wewe na wenzio wa Ufipa. Taasisi ya Kimataifa (yenye bodi iliyosheheni wataalaamu wote duniani wenye exposure na CV za kushiba) inayoandaa hizo tunzo imeshatoa msimamo wewe Ni Nani?
Kwani vigezo ni kutua nchi kibao? Mtu timamu angeuliza vigezo vilivyotumika.Turkish inatua nchi kibao tena mabara yote Atc hata nairobi sijui kama saiv inaenda tena.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Mwambie asikuharibie siku. Mabeberu hawatusaidii chochote maana hat ndege tunatengeneza wenyewe huko Ibinzamata na Nyumbu Kibaha.Acha ushabiki maandazi. Jivunie vya kwenu. Mabeberu watakusaidia nini?
Dah jibu lililo kwenda shule[emoji23][emoji23][emoji23]...saluti mkuu kwa jibu lako..though sikufahamuMwambie asikuharibie siku. Mabeberu hawatusaidii chochote maana hat ndege tunatengeneza wenyewe huko Ibinzamata na Nyumbu Kibaha.
Yaa inatua..ila ni Boeing 737 nadhani pamoja na ya mzigoTurkish inatua nchi kibao tena mabara yote Atc hata nairobi sijui kama saiv inaenda tena.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
😂😁Pale nnapojiuliza mtu pekee mwenye akili timamu ni mimi peke yangu???
Ujanjaujanja Tumna tuzo hapo.
Ni furaha yetu soteKatika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi nzuri ya kuboresha huduma zenu.
** Mchakato ulikua wa huru na haki kila hatua vilihusisha wadau dunia nzima.
Nimekuelewa sanaUkakasi unauleta wewe na wenzio wa Ufipa. Taasisi ya Kimataifa (yenye bodi iliyosheheni wataalaamu wote duniani wenye exposure na CV za kushiba) inayoandaa hizo tunzo imeshatoa msimamo wewe Ni Nani?