Air Tanzania yaipiku Turkish Airlines

Air Tanzania yaipiku Turkish Airlines

Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi nzuri ya kuboresha huduma zenu.
Most Preferred Domestic Airline) ......Air Tanzania ana compete na shirika gani hapa domestically?, kasha funga mashirika mengine kama fast jet......unakimbia peke yako arafu unasema unaongoza, hahahaha mwaka tayari ata 'balancing sheet' hujapublish kwa ummah
 
Tuzo za kuandikwa 13th December.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi nzuri ya kuboresha huduma zenu.
Uzalendo unaanza na wewe
 
Pale nnapojiuliza mtu pekee mwenye akili timamu ni mimi peke yangu???

Ndio maana mpaka sasa wanaamini corona imekwisha nchini kwa maombi huku watu wakipukutika!!! Wakiambiwa "WAPUMBAVU" wanafikili wanasifiwa!
 
Ndio maana mpaka sasa wanaamini corona imekwisha nchini kwa maombi huku watu wakipukutika!!! Wakiambiwa "WAPUMBAVU" wanafikili wanasifiwa!

Kwani uko nchi gani mkuu ambayo watu wanapukutika, tafuta story nyingine sisi hiyo haifany kazi.
 
Back
Top Bottom