Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faida?
Tunajivunia Air TanzaniaKatika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi nzuri ya kuboresha huduma zenu.
** Mchakato ulikua wa huru na haki kila hatua vilihusisha wadau dunia nzima.
Ngoja tuendelee kutega masikio yetuUongo mwengine hauna maana ni kujitia ujinga tu.Kusifia na kupenda chako ni sawa,lakini kujipa sifa usizonazo ni upuuzi si uzalendo wala ujanja.Air ACTL bado sana kulinganishwa na Turkish Airlines,yaani sio size yake ni sawa kulinganisha mbio za kuku na farasi!.
Turkisha Airines inaenda sehemu 245 duniani,ndani ya nchi 123.Tena hapo hujaongeza domestic flights,wala hukujumlisha Turkish Airlines Cargo.
Hayo magofu ndiyo unayaita Safi?!Safi sana
Miezi miwili baada ya hii tuzo fake bwana akatenda! Malipo ni hapa hapa dunianiKatika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi nzuri ya kuboresha huduma zenu.
** Mchakato ulikua wa huru na haki kila hatua vilihusisha wadau dunia nzima.