Haha mzee tupo kwenye propaganda, weka akili pembeni kwanza 😀Pale nnapojiuliza mtu pekee mwenye akili timamu ni mimi peke yangu???
Most Preferred Domestic Airline) ......Air Tanzania ana compete na shirika gani hapa domestically?, kasha funga mashirika mengine kama fast jet......unakimbia peke yako arafu unasema unaongoza, hahahaha mwaka tayari ata 'balancing sheet' hujapublish kwa ummahKatika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi nzuri ya kuboresha huduma zenu.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha,kongole kwao ATCL
Uzalendo unaanza na weweKatika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi nzuri ya kuboresha huduma zenu.
Atcl labda uwashindanishe na coastal aviation...
Hahah ni CLOUDS MEDIA.
Pale nnapojiuliza mtu pekee mwenye akili timamu ni mimi peke yangu???
Ndio maana mpaka sasa wanaamini corona imekwisha nchini kwa maombi huku watu wakipukutika!!! Wakiambiwa "WAPUMBAVU" wanafikili wanasifiwa!
Wewe ndio umekosea kuandika hiyo tarehe mkuu.13th December badala ya 13rd
Hiyo tuzo itakuwa ya magogoni