Air Tanzania yaipiku Turkish Airlines

Kumbe tuzo zenyewe za hapahapa Tz.
No wonder.
Turkish airlines nzuri tena nzuri sana! Sio za kufananisha na hizo daladala zenu.
 
Kwani uko nchi gani mkuu ambayo watu wanapukutika, tafuta story nyingine sisi hiyo haifany kazi.

Mmeaminishwa kuwa NYUNGU ndio dawa ya corona; sasa mnaambiwa wizara ya afya isiagize chanjo ya corona kwani wanasayansi wetu wanafanyia utafiti dawa zetu za kienyeji jinsi ya kutibu corona!!! Jiwe mtata kweli kweli ; ile dawa aliyotuma ndege na Waziri wake wa mambo ya nje kuifuata Madagasca imeishia wapi?
 
Ndio maana mpaka sasa wanaamini corona imekwisha nchini kwa maombi huku watu wakipukutika!!! Wakiambiwa "WAPUMBAVU" wanafikili wanasifiwa!
Uliwapima? Halafu ATCL mbona haina uhusiano na Corona?
 
Uliwapima? Halafu ATCL mbona haina uhusiano na Corona?

Mnangoja mpaka mfe ndio mtazinduka kuwa corona mnayo. Hudhani passengers wa ATCL wenye corona wanaeneza ugonjwa huo kwa passengers wengine ambao hawana huo ugonjwa?
 
Safi sanaaaa! Bado kidogo tuzipite na Emirates, Qatar, fly Dubai, etihad nk. Mwelekeo mzuri
 
Kumbe tuzo zenyewe za hapahapa Tz.
No wonder.
Turkish airlines nzuri tena nzuri sana! Sio za kufananisha na hizo daladala zenu.
Faida?
 


Ama kweli la kuvunda halina ubani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…