Air Tanzania yaipiku Turkish Airlines

Uongo na aibu is a brother and sister. Njia za mwongo ni fupi, kumbe agenda ni kumtukuza na kumuongezea muda that is why all these dramas.
 
Tunajivunia Air Tanzania
 
Ngoja tuendelee kutega masikio yetu
 
Inaonekana kuna upigaji sana huko air tanzania maana si kwa fix hizi!
 
Ikiona shirika linakimbilia kwenye uongo/press ya namna hii kuna tatizo lipo au linakuja, ili kufukia kinachotokota utaona tambo ATC linapendwa na wateja kuliko yote East and central Africa hata kule ambako shirika hili haliendi, utaona ooh ATC imerudi Mwanza na kuacha kutua Bukoba kutokana na hali ya hewa hili ni kuikandia Prescision Air kuwa walifanya makosa kutua pale, hizi zote ni kuficha weakness walizonazo kiuendeshaji. Ni shida, unaona wanaground all Airbus planes kwa ajili ya what they call service why all??? Hawakuplan???
 
Miezi miwili baada ya hii tuzo fake bwana akatenda! Malipo ni hapa hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…