Air Tanzania yapigwa Marufuku kufanya safari zake Katika nchi 28 za Umoja wa Ulaya kwasababu za Kiusalama

Tumekuwa wazalendo sana. Habari isipomsifia Rais Samia haitangazwi

Brussels – Air Tanzania fails to meet EU aviation safety requirements: the European Commission has added the airline to the list of operators banned from flying to and from the European Union. In its work to update the blacklist of third-country airlines, the EU removed Pakistan International Airlines (PIA) and Airblue Limited, both carriers from Pakistan. They can resume service to the EU.
 

View: https://x.com/millardayo/status/1867675013727629825?t=jRprq_5KN8m0fe1nupHrug&s=19
 

Hizi habari unazitoa wapi? Weka source hapa.

Wabongo wameshindwa kuendesha SGR tu.

Forget SGR. Mwendokasi tu.

Huko kwenye usafiri wa ndege wa kimataifa watu wameelezea mpaka jinsi wanavyo list hizi nchi, mnalialia siasa tu?


"The EU’s approach to safety management in aviation is based on occurrence reporting where safety-related events in civil aviation are tracked, analysed and followed up. Common rules on accident investigations are also designed to prevent the reoccurrence of dangerous incidents. "
 
Spaner kuelekea 2025
 
Hapa utaelewesha mpaka 2025 sababu mtu atakubishia wakati hata Kisumu hajawahi kufika
 
Hahaha hawa EU ni wabaguzi sana, Walipaswa waseme tatizo ni nini ili nasi TUCHUKUE HATUA tusalimike. Sasa unaposema sababu za kiusalama, yani huo usalama uko ULAYA pekee sisis hatuhitaji kuwa salama?

Kama ndege zinashida wangesema ziwe grounded hata kama ziko Dodoma zisiruke ili nasi tuwe salama, lakini kuzizuia zisiingie Ulaya tu eti kwa sababu za kiusalama bila kutueleza hasa tatizo ni nini, huo ni ubinafsi wa maisha.

Kama hazifanyiwi service ya kutosha zisiruke hata humu nchini, kama zina hitilafu ya kimfumo zisiruke hata humu nchini, lakini usalama usiwe EU pekee.
 
Rubani na crew ya Air Tanzania kukubali Lema kukamatwa kama gaidi ndani ya ndege ni tatizo kubwa la kiusalama.

Samia anadhani upuuzi anaoulea kwa kigezo cha kudhibiti upinzani atabaki salama.

Na yeye soon atapigwa ban Ulaya kwa sababu za kiusalama
 
Tanzania kipindi Cha nyuma tulikua na Safari za Ulaya na hasa London.

Ni miaka mingi Sana Tangu shirika la Ndege kuacha kupeleka ndege uko kutokana na kuyumba kwa shirika na Sababu za kibiashara.

Sasa kusema Shirika la Ndege la Tanzania limefungiwa wakati halina Safari za Ulaya Wala mpango huo karibuni ni Jambo la kushangaza.
Ingekua pigo kama Tanzania ingefungiwa kufanya safari za Mojakwamoja kati ya Tanzania na China( Gwanzuu)au Tanzania na India ambako Air Tanzania Ina Abiria wengi ila uko EU hakuna Athari zozote kibiashara.
 
Mbona ipo ndani ya nchi zenye utata
 
Hongera sana Rais Samia 😊 Kwa hakika Tanzania inajivunia wewe 😊 Air Tanzania kutokuingia ndani ya Ulaya ni jambo njema sana 😊
Mapambio ya kina fulani sasa 😃
 
Wanangu wa faida mkitaka kwenda Ulaya,USA, na Kote duniani Anzia Nairobi Kenya michongo yote ya kimataifa inapatikana pale
 
Aii, hii vipi tena jamaniii...
Ila ninavyowajua maccm watamsingizia Lissu kwamba ndo kakichafua....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…