Airbnb ni salama zaidi kwa wanaochepuka kuliko guest house

Airbnb ni salama zaidi kwa wanaochepuka kuliko guest house

Ni mahali pa kunyanduana bila kukamatwa, hii ni kwa definition ya Bujibuji Simba Nyamaume
IMG-20221215-WA0013.jpg
 
Bujibuji Simba Nyamaume weka na AirBnB locations ambazo hazina kwere, kizuri kula na nduguyo...
Kuna chimbo ambalo nalikubali sana, ni jengo la maofisi/ biashara ila juu kuna apartments. Ngumu sana kushtukiwa. Makumbusho hapo jirani kabisa na kituo cha daladala. $15 tu, chumba, jiko, sebule, WiFi, yaani makila kitu unapata.
Huwa naingia pale sokoni Makumbusho, nanunua mazaga, tukiingia hatutoki hadi kesho saa nne muda wa checking out
 
N
Kuna chombo ambalo nalikubali sana, ni jengo la maofisi/ biashara ila juu kuna apartments. Ngumu sana kushtukiwa. Makumbusho hapo jirani kabisa na kituo cha daladala. $15 tu, chumba, jiko, sebule, WiFi, yaani makila kitu unapata.
Huwa naingia pale sokoni Makumbusho, nanunua mazaga, tukiingia hatutoki hadi kesho saa nne muda wa checking out
Ikiwa mkubwa nataka kua Kama wewe😎
 
Back
Top Bottom