Airbnb ni salama zaidi kwa wanaochepuka kuliko guest house

Kuna chombo ambalo nalikubali sana, ni jengo la maofisi/ biashara ila juu kuna apartments. Ngumu sana kushtkiwa. Makumbusho hapo jirani kabisa na kituo cha daladala. $15 tu, chumba, jiko, sebule, WiFi, yaani makila kitu unapata.
Huwa naingia pale sokoni Makumbusho, nanunua mazaga, tukiingia hatutoki hadi kesho saa nne muda wa checking out
Aisee nataka kitu kama hiki.
Tatizo husemi procedures za kufanikisha , wengine ndo tumesikia leo hiyo Airbnb
 
Wengine tunafanya hv,unakuwa na sehemu za kufugia wanyama kama nguruwe,ng'ombe au mbuzi,kuku wanakuwa wapo nje ya mji huko,unajenga kanyumba kenye vyumba vitatu yaan stoo,chumba kwa ajili ya anae watunza wanyama na kimoja cha kwako cha kulia vitoto vya shule au wake za watu au ndugu zako wa mbali,chumba kinakuwa full mpaka jiko ndani afu kizuri,mkiingia humo hakuna kutoka
 
Wazee wa mambinu
 
Hiyo wife anakuwa haijuwi ama.
 
Aisee bujii nilienda msibani vuta raha ni rafki yangu tokea 2003 tukiwa moshi...alikua na carwash na mm nikaanzisha kijiwe cha watoto wa mjini hapo moshi na kipo mpaka leo..juzi nilienda kumzika pale makaburi ya kinondoni...na hata diamond alikuwepo
Hata mimi nilikuwepo. Hawa jamaa tumeishi nao sana Upanga miaka ile
 
Back
Top Bottom