Airbnb ni salama zaidi kwa wanaochepuka kuliko guest house

Airbnb ni salama zaidi kwa wanaochepuka kuliko guest house

Hiyo unashare living room na bathroom. Siyo nzuri labda update Haina wateja wengine.
Ukichukua Airbnb make sure kila kitu chako
Labda kama unataka kufanya party na washikaji chukua floor nzima au mansion nzima. Zipo kibao mbezi beach for 300$ a weekend.
Kama Kuna kushare living room hiyo haifai; Kuna machimbo ya kufanyia party ambayo unakuta ni private huko mbezi beach. Hiyo ya kadambasi sito poa
 
Wataalam wa minyanduo, wale wanaopenda kunyandua spring chicken, tule tutoto tubichiiii, wale wanaochapa wake wa watu, na wale wote wanaoona usalama wao ni mdogo wakati wa majamboz, Airbnb ndio mpango mzima.

Ingia zako tu mtandaoni, tafuta nyumba ya uwezo wako nenda kale maisha.
Mkuu
Haukwenda kuchukua debe la wese kwa Mwamposa huko!?
 
1671282358743.png
 
Yaani Bujibuji hujawahi kuacha uhuni. Huyo Vuta Raha ni babu mtu mzima, bila shaka yoyote ni age mate wako.

Naye anajiita Vuta Raha, yaani wazee wa mjini bwana
Cc Kisiju
 
Wale fisi wameweza kutoa wese? Dah kweli mjini kila kitu bien.

Enewei hebu tuweke sawa kwenye hii airbnb. Unakuta springchiksen au unaambatana naye? Hebu kuwa jadidifu kwa kutoa japo lokesheni watu wakagombee goli
Machimbo mbona mengi Msanii? Inategemea na budget yako, mi machombo ninayoyapenda ni ya Sinza, Kijitonyama, Mbezi Beach, Mikocheni na Upanga. Unapata nyumba nzuri kwa bei nzuri sana. Halafu huduma za kijamii haziko mbali.

Sijawahi kuangalia nyumba za Kwa Mpalange, ngoja nizicheki halafu nakupa mrechesho
 
Back
Top Bottom