Airbnb ni salama zaidi kwa wanaochepuka kuliko guest house

Bujibuji Simba Nyamaume weka na AirBnB locations ambazo hazina kwere, kizuri kula na nduguyo...
Kuna chimbo ambalo nalikubali sana, ni jengo la maofisi/ biashara ila juu kuna apartments. Ngumu sana kushtukiwa. Makumbusho hapo jirani kabisa na kituo cha daladala. $15 tu, chumba, jiko, sebule, WiFi, yaani makila kitu unapata.
Huwa naingia pale sokoni Makumbusho, nanunua mazaga, tukiingia hatutoki hadi kesho saa nne muda wa checking out
 
N Ikiwa mkubwa nataka kua Kama wewe😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…